Mchakato wa ajira za ualimu mwaka 2025 si wa haki, umekaa upendeleo

Musangaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2021
Posts
407
Reaction score
490
Mchakato umejaa manyanyaso Kwa vijana wasio na ajira Wala kipato kinachoeleweka kuanzia kwenye utumaji maombi ya kazi. Vijana walitakiwa kucertify vyeti vyao Kwa mwanasheria/wakili/hakimu yeyote yule, hii ilihitaji pesa kama Hauna basi umekula kwako.

Kwenye interview napo pamejaa mambo ya hovyo hovyo mfano badala ya kufuata Sheria ya utumishi ya 50% wao wana lala na kuamka na pass mark Yao.

Wenye nafasi(viongozi wa psrs na wizara Kwa ujumla wameamua kuwatafutia nafuu ndg zao ya kupata kazi Kwa upendeleo bila kuhojiwa na yeyote. Mfano kama walikuwa na Nia njema Kwa wahitimu waliokaa muda mrefu mfano miaka 10,09, n.k hapakuwa na ulazima wa kuchukua maombi kuanzia 2015 Hadi 2023 badala yake wangechukua kuanzia 2015 Hadi 2018 ili kuwashindanisha waliokaa muda mrefu na kuondoa bias.

Baadhi ya walimu wamepewa oral interview pekee na wengine written na oral interview. Walitakiwa wawafanyie waombaji wote usaili unaofanana Kwa wote. Kwa Nini wengine wahojiwe na wengine wafanye mtihani??

Acheni kutesa watanzania wenzenu kisa tu mna nafasi serikalini au katika kufanya maamuzi maana mnawaumiza sana watanzania wenzenu.
 
Saili za utumishi wewe huzijui kwa sababu yamkini wewe ni mwalimu au ni mgeni kabisa! Lakini utumishi toka ianzishwe imewafanya vijana wengi kuajirika sehemu ambazo zililikuwa hazifkiki kwa watoto masikini! Kwa hiyo hoja zako hazina mashiko kabisa! Maana wasio na ajira muda mrefu sio walimu peke yake kumekuwepo na kada zingine hawajaajiriwa toka miaka ya nyuma na wapo wengi sana! Umewahi kuona utumishi wanatangaza kazi kwa kulimit miaka ya kumaliza chuo????kwa uzoefu wangu waliomaliza miaka ya nyuma ndio wengi wanapata kazi utumishi sio kwa sababu ya upendeleo ila ni kwa sababu wana uzoefu na kazi hivyo maswali mengi wanayafaulu kwa sababu maswali yanaulizwa ya kada husika!

Kwa hiyo hoja yako kuwa wangekatia waliomaliza mwisho 2018 alafu wawashindanishe haina mashiko maana hata ukichukua wajinga 1000 ukawafanyia usaili lazima yupo atakayeongoza tu! Mimi nilidhani mtu aliyemaliza miaka ya nyuma ana chance kubwa ya kufaulu usaili kwa sababu ana uzoefu na kazi lakini pia hata kujieleza ni tofauti na mtu aliyemaliza mwaka jana!

Hoja yako kuwa wengine wanafanya usaili wa kuandika na wengine usaili wa mahojiano haina mqshiko, kwanza unaonekana wewe ni mbinafsi na una wivu sana, na inaonekana hujui lengo la mithani ya utumishi! Lengo la mithani ya utumishi ni kutafuta watu sahihi miongoñi mwa wengi!
Kazi ya usaili wa mchujo ni kuchuja watu wabaki wachache hivyo hata wakikatia 90% hawana lawama na hamna sheria inayowakataza kukatia hapo maana ni mchujo!
Kuna kada wanahitajika watu 5 wanaomba watu 10 wewe unahisi kuna haja ya kuwa na mthani wa mchujo au written?????? Lakini wanahitajika watu 5 wanaomba watu 1000 plus utawapataje sasa hao watano lazima utumie hizo njia zote! Mchujo, prct nk ili ubaki na wachache ili uhojiane nao! Hiyo application ipo pia kwenye topic za geography walimu mlitufundisha alafu nyie wenyewe hamtaki kufanyiwa!

Tuache malalamiko yasiyo na maana mtoto wako anaposoma mwambie asome kozi ambazo hazina ushindani mkubwa sokoni! Haiwezekani mwalimu kakomaa na madynamic na principle za newton unataka ulingane naye wewe uliyesoma mambo ya ngoswe na mìchomekeo kibao! Tuache utane

Jinsi unavyosoma kozi ngumu na yenye watu wachache hata kwenye usaili ipo hivyo hivyo! Kuna kada wasailiwa wanaitwa watano na wanahitajika 4 hadi raha sana!

Kozi yangu iliyonipa ajirà, walikuwa wanahitajika watu wawili na tulioitwa usaìli tulikuwa watano tuliofika siku ya usaili tulikuwa 4! Wakati pembeni unaona kada nyingine wanahitajika 2 walioitwa usaili 200+ wewe unafikiri kosa la nani hapo???

Tuwe wazalendo! Utumishi wapo fair 100%
 
Wewe umeshiba
 
Wakati wanatangaza kutakuwa na mtihani lengo lao halikuwa ni Kwa baadhi ya walimu Bali ilikuwa Kwa walimu wote ili wapatikane walimu Bora Kwa akili zao. Je imekuwaje wengine wasipewe mtihani ili wapatikane hao Bora?? Kama ni hivyo basi serikali na utumishi Haina huruma na watu wake Kwa sababu inawaza kuwanyang'anya hata kile kidogo walicho nacho(inataka jamii ibaki maskini). Hii ni Kwa sababu mchakato wa ajira hizi ulikuwa na lengo la kuwanyang'anya hata kile kidogo walichokuwa nacho wakijua hawawezi kuwafanya chochote.

Je, Kwa Nini watanzania tunateswa hivi Kwa kimvuli Cha wahitaji wengi na nafasi chache? Watu wanasafirishwa kutoka km 250+ kufuata usaili huko atalala, atakula na ataoga Kwa Hela(;atatumia gharama) mwishowe atafanya mtihani na atafaulu(atapata 50+ ) na kuambiwa hajafaulu mtihani wao wa mchongo. Kiukweli tunaumizana wenyewe Kwa wenyewe.
 
Mchakato umejaa manyanyaso Kwa vijana wasio na ajira Wala kipato kinachoeleweka kuanzia kwenye utumaji maombi ya kazi. Vijana walitakiwa kucertify vyeti vyao Kwa mwanasheria/wakili/hakimu yeyote yule, hii ilihitaji pesa kama Hauna basi umekula kwako.

Kwenye interview napo pamejaa mambo ya hovyo hovyo mfano badala ya kufuata Sheria ya utumishi ya 50% wao wana lala na kuamka na pass mark Yao.

Wenye nafasi(viongozi wa psrs na wizara Kwa ujumla wameamua kuwatafutia nafuu ndg zao ya kupata kazi Kwa upendeleo bila kuhojiwa na yeyote. Mfano kama walikuwa na Nia njema Kwa wahitimu waliokaa muda mrefu mfano miaka 10,09, n.k hapakuwa na ulazima wa kuchukua maombi kuanzia 2015 Hadi 2023 badala yake wangechukua kuanzia 2015 Hadi 2018 ili kuwashindanisha waliokaa muda mrefu na kuondoa bias.

Baadhi ya walimu wamepewa oral interview pekee na wengine written na oral interview. Walitakiwa wawafanyie waombaji wote usaili unaofanana Kwa wote. Kwa Nini wengine wahojiwe na wengine wafanye mtihani??

Acheni kutesa watanzania wenzenu kisa tu mna nafasi serikalini au katika kufanya maamuzi maana mnawaumiza sana watanzania wenzenu.

Mwalimu Jipe muda usome kanuni za sheria za PSRS.

Unaonekana hujui vitu vingi sana.
 
Acha makasikiko mkuu hata wakifanya fea kila mtu hawezi kupata
 
Achana na hizo ajira
Mshahara laki 5 tu uwabembeleze
Uje upangwe huko Tandahimba
Hiyo 500k hata bodaboda anapata
Kila kitu kiko mtaani komaa mkuu

Boda yupo Dar anapata Pepsi ya baridi na pisi kali anakula
Wewe umepangwa machakani Tandahimba unakunywa togwa
 
Achana na hizo ajira
Mshahara laki 5 tu uwabembeleze
Uje upange huko Tandahimba
Hiyo 500k hata bodaboda anapata
Kila kitu kilo mtaani komaa mkuu
Upo sahihi mkuu ila nikupe siri moja--pesa haiachwi kwa vyovyote vile usiache pesa kama una sifa na uwezo wa kuifikia

Mtaani mapambano yanaendelea maduka tunafungua na site tunaenda na faida tunapata kuliko hata hizo za ualimu lakini pesa za serikali hatuziachi kwani tuna sifa na uwezo pia na hiyo ndio kauli mbiu
 
Yaani uache biashara yako Dar
Ushinde foleni unakaguliwa vyeti, upange kasulu kutumikia laki 5 mwezi mzima.

Huo ndo upumbavu gani Sasa
We pambana futa ajira akilini, mtaa una kila kitu, kuliko kushinda huko shule unaimba vishazi huru
 
Yaani uache biashara yako Dar
Ishinde foleni unakaguliwa vyeti, upange kasulu kutumikia laki 5 mwezi mzima.

Huo ndo upumbavu gani Sasa
We pambana futa ajira akilini, mtaa una kila kitu, kuliko kushinda huko shule tunaimba vishazi
Nimekwambia maduka tunafungua na site tunaenda na usaili kama kawa

Ni inshu ya kuorganize biashara yako tu na kuwa na watu sahihi umemaliza

Pesa haiachwi
 
Back
Top Bottom