Musangaa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 407
- 490
Mchakato umejaa manyanyaso Kwa vijana wasio na ajira Wala kipato kinachoeleweka kuanzia kwenye utumaji maombi ya kazi. Vijana walitakiwa kucertify vyeti vyao Kwa mwanasheria/wakili/hakimu yeyote yule, hii ilihitaji pesa kama Hauna basi umekula kwako.
Kwenye interview napo pamejaa mambo ya hovyo hovyo mfano badala ya kufuata Sheria ya utumishi ya 50% wao wana lala na kuamka na pass mark Yao.
Wenye nafasi(viongozi wa psrs na wizara Kwa ujumla wameamua kuwatafutia nafuu ndg zao ya kupata kazi Kwa upendeleo bila kuhojiwa na yeyote. Mfano kama walikuwa na Nia njema Kwa wahitimu waliokaa muda mrefu mfano miaka 10,09, n.k hapakuwa na ulazima wa kuchukua maombi kuanzia 2015 Hadi 2023 badala yake wangechukua kuanzia 2015 Hadi 2018 ili kuwashindanisha waliokaa muda mrefu na kuondoa bias.
Baadhi ya walimu wamepewa oral interview pekee na wengine written na oral interview. Walitakiwa wawafanyie waombaji wote usaili unaofanana Kwa wote. Kwa Nini wengine wahojiwe na wengine wafanye mtihani??
Acheni kutesa watanzania wenzenu kisa tu mna nafasi serikalini au katika kufanya maamuzi maana mnawaumiza sana watanzania wenzenu.