kakakwetu
Member
- Sep 20, 2014
- 17
- 9
Yn nyie waalimu bhana π yn mtu akisapoti nyie kufanyiwa usaili mnaanza kumuona n adui wenu π mzee Mm sio niliyeleta usaili kwa waalimu kwahy kama unanichukia bc ha
Yaani humu ndani kuna vilaza wanaamini walimu hawajawahi fanya usaili nje na huu wanaofanya sahizi,waanaamini mwalimu hajui lolote ni kama yupo gizani.Kumbe infact wao pengine ni vilaza kupindukia ila wanajaribu kujitutumua kwa sababu tu sio walimu.Acheni kujiaibisha nyie vilaza,waacheni waalimu wapambanie haki zao.Ninyi mnao ona utumishi wako fear pengine ni ukilaza wenu umewafanya musiweze kung'amua mapungufu ya hao utumishi na mlikua mnapelekeshwa tu.WALIMU WANA HIGH REASONING ABILITY NDIO MAANA WANAHOJI UHALALI WA HUO USAILI WAUpo sahihi mkuu watu hatulalamikii kuwepo kwa usaili ila at least uwe fair and inclusive ila wengi humu wanaleta ukongwe uchwara
LIOFANYA HASA USAILI WAKUANDIKA,Na msomi mahili siku zote inatakiwa awe na uwezo mkubwa wa kureason sio anapelekshwa tu.