Mchakato wa Kuomba Ajira za Sensa Umetuonyesha kuwa bado Mifumo yetu ya ajira nchini ina changamoto kubwa sana

Mchakato wa Kuomba Ajira za Sensa Umetuonyesha kuwa bado Mifumo yetu ya ajira nchini ina changamoto kubwa sana

MAKA Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
267
Reaction score
209
Mifumo yetu ya ajira bado ina changamoto kubwa sana. Mchakato wa kuomba ajira za uandikishaji wa sensa 2022 umedhihirisha hivyo. Kwanza lazima Serikali ipongezwe kwa kuajiri vijana wengi ambao hawana ajira, lakini mfumo mzima wa ajira umeonyesha mapungufu kadhaa kama vile:
(1) Kusahaulika kwa baadhi ya taarifa kwenye fomu za mtandaoni.
(2) Kushindwa kuweka 'Instructions Manual' ili waombaji wajue wanachoomba.
(3) Kushindwa kukubali makosa pale yanapojitokeza maana hiyo ni sayansi na ni hali ya kawaida kukosea. Kwa hiyo, kuomba radhi ni sehemu ya kuwajibika pia.
 
Back
Top Bottom