kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Simba ni mali ya metl sisi kazi yetu kushabikia tu
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thet het het teh teh balaaaWala hakuna shida ni vile TU tumejawa na fikra duni na kudhani kila kitu lazima kifanane. Mara jezi sijui mbovu mara matangazo na blah blah nyingi. Sasa kama yeye atatoa pesa nyingi Kwa matangazo yake hayo.,mnatakaje?
Kama unaona hizo nyingine ndio nzuri, kanunue hizo. Kila kukicha Simba, Simba. Simba that, Simba this, Simba there! Idiots!
Hamna familia za kulisha huko majumbani. Mnarefuka makende TU kila saa. Be men! Yaani mnageuka wambea ghafla. Sijui mnawezaje kuwa hivyo mlivyo!
Aghaghaaa!
Kikubwa atuletee wachezaji boraSimba ni mali ya metl sisi kazi yetu kushabikia tu
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Hayo ni kwa vilabu imara vyenye uongozi bora na precisely nje huko sio hapa.Ngoja niseme kitu b..., sisi mashabiki wa hizi timu tukianza kupekua pekua haya mambo hadi ya wadhamini wa jezi tutajinyang'anya nafasi yetu ya kuwa mashabiki wa mpira wa miguu.
Ndiyo maana haya mambo ya wadhamini na walicholeta huwa tunakipata kwenye mkutano mkuu. Mimi napenda zaidi kuwa shabiki wa soka kuliko kuwa shabiki biashara mtambuka za timu.
Nakwambia kweli b..., haya mambo ya wadhamini siyapi kipaumbele kuyajua yameendaje, ila napenda zaidi kujua timu yake imemsajili nani kwenye usajili na mpango wa kushinda mechi ukoje.
Hili la mdhamini, tutajua tu kwenye mkutano wetu mkuu.
Ova
Sawa lawama tunazipeleka kwa Sandaland kwa nini aweke malogo makubwa vile, ajifunze kwa jezi za klabu za UlayaNdo anayetoa pesa huyo
Wewe ukipewa ufafanuzi wa kutosha itakusaidia nin familia yako?FARHAN: SIMBA WAMETUPIGA.
Labda CEO atusaidie kidogo majibu ni kwamba hakuna Mdhamini mwingine wa kuweka hela ama? MO XTRA zipo mara mbili, juu kulia na moja kubwa mbele kifuani, kabisa hakuna brand nyingine? Jezi moja ina matangazo mawili ya kufanana?
Tajiri anatoa mzigo yes lakini hii ya kutuweka matangazo ya kufanana kwenye uzi mmoja ni kubana fursa nyingine za klabu kuingiza pesa ya kutosha kutokana na platform hii kubwa ya michuano ya kimataifa.
Halafu CEO pia atusaidie hiyo MO SPORT mkataba wake ulisainiwa lini? Ni Kampuni ya nani hii? Inajihusisha na nini hii?
Ni hayo tu kwasasa, ni hayo tu.
[@jr_farhanjr ]
Nadhani kuwa sandaland anafuata maagizo ya boss .....but anashindwa kushauri[emoji23]Sawa lawama tunazipeleka kwa Sandaland kwa nini aweke malogo makubwa vile, ajifunze kwa jezi za klabu za Ulaya
Sasa sijui ni Mo ndio alimwambia afanye vile
Hebu ona mkuu 😅😅😅 bado na ile ya kwenye takoNadhani kuwa sandaland anafuata maagizo ya boss .....but anashindwa kushauri[emoji23]View attachment 2822022
Simba haijayumba ila mashabiki wake ndiyo wameyumbaHayo ni kwa vilabu imara vyenye uongozi bora na precisely nje huko sio hapa.
Na kwa kasumba hiyo ndio maana madudu huko kwenu hayaishi! Mara pesa za usajili zinapigwa watu wanaleta wachezaji wabovu ili wapige 10% zao.
Kutokana na hayo ndio maana timu inazidi kuyumba maana nani msafi wa kumrushia mawe mwenzie? Mdhamini anapiga kwenye matangazo na ruzuku za mashindano.
Watendaji wanapiga kwenye sajili…
Ripoti gani ya mkutano mkuu ya kueleweka? Kila mwaka deni linazidi kuwa kubwa kuliko lile lililoahidiwa kuwekwa kwenye account kama mauziano ya hisa kukamilisha mchakato mpya ndani ya klabu.
Huu mjadala ni mpana b…
Tutakesha!
Anailipia ile Bil 20 yake, kuweni wapole.Hali ni mbaya. Hadi kwenye bukta juna maneno na matangazo ya mdhamini hadu nyuma kwenye makalio kuna "MO extra"
oyaaa 😅😅😅Mwisho mudi atataka mashabiki tuchore tattoo zenye picha yake
Mzee wa Msonga aliwahi sema mla vya wenzake a vyake huliwa hivyo kubalini yaishe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hali ni mbaya. Hadi kwenye bukta juna maneno na matangazo ya mdhamini hadu nyuma kwenye makalio kuna "MO extra"