Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
asante ntamsikiliza..Umemsikiliza au unamchukulia powa tu?
Au una chuki nae binafsi?
Nahisi haujamsikiliza.
Nahisi una mhukumu sababu ya kufuga dread locks (rasta) kitu ambacho ni prejudice au tuite bad perception bila kuwa na taarifa sahihi. Usimhukumu mtu kwa muonekanao.
Usimhukumu mtu kwa kuangalia taarifa zake za zamani, watu hubadilika sana.
FYI, Barack Obama and Bill Clinton smoked pot too. Smoking pot doesn't mean you know nothing.
How do you rate yourself comparing to pot smokers like The Late Bob Marley and the public figures mentioned above?
Ntamsikiliza mkuu nione mwenyewe haya mnayosema.Unajua kwenye haya mambo inategemea na kipi unachotaka kukisikia, unachojua, na kama hauko kiushabiki au la.
Kiemba huwa mara chache ukimsikia kwenye buildup ya games local anafanya vyema sana, sijui labda ni vile sifatilii game za ndani, ila Kiemba namwelewa pia.
Kwa nini unategemea binadamu mwingine akuchambulie wakati ni binadamu kama wewe?Mpira unaangalia mwenyewe halafu mwingine akuchambulie?Jamani msikieni huyu mjinga..!
Probably nimekosea ktk kujenga hoja naamini tutasamehana mkuu.asante ntamsikiliza..
Hawa wachambuzi wa Bongo ni ujimwambafai tu,utasikia Edo kumwembe anakuambia nilikuwa Milan lini sijui kikaenda kikarudi.Ha haaa ..
Maisha ni kujikubali mwenyewe ndipo utakubalika na wengine.
Anyway itabidi unialike leo tukaangalie wote mechi ya Liverpool FC Vs Everton FC a.k.a Merseyside derby unichambulie niangalie kama ulicho sema ni sahihi.
Ntamsikiliza mkuu nione mwenyewe haya mnayosema.
Daah,Hawa wachambuzi wa Bongo ni ujimwambafai tu,utasikia Edo kumwembe anakuambia nilikuwa Milan lini sijui kikaenda kikarudi.
Hapana mkuu umenikumbusha kwenyeweProbably nimekosea ktk kujenga hoja naamini tutasamehana mkuu.
Ni kweli ,ila utasikia nilikuwa milan,anapoteza muda kwa kujiongelea badala ya kustick kwenye point.Sijawahi msikia George akisema alikuwa wapi sijui.Tu put it serious napenda uchambuzi wa Ambangile.Daah,
Kweli mkuu.
Sema Edo Kumwembe kweli anatembelea sana hivyo viwanja. Wacha ajimwambafai mkuu.
Clouds FM wanamualika mara kwa mara saa 3 usiku Sports Extra, pia kila jumapili saa 7 mchana kwenye Sports Round-up, siangalii TV ya Clouds huenda wanamualika na kwenye Sports Bar.
Hoja yako nimeielewa sasa mkuu.Ni kweli ,ila utasikia nilikuwa milan,anapoteza muda kwa kujiongelea badala ya kustick kwenye point.Sijawahi msikia George akisema alikuwa wapi sijui.Tu put it serious napenda uchambuzi wa Ambangile.
Na pia maisha binafsi ya mchezaji, nje ya uwanja mf ameoa mzungu, anakaa uswazi n.kDr.Leaky hajua technicalities za mpira, alikuwa anatoa historia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa George Ambangile kapata kura nyingi zaidi kupita wachambuzi wengine.
Sawa mkuuUmetumia lugha kali sana.
Hawa wachambuzi wa mpira hawajasomea popote, ni ufatiliaji tu, kuangalia wengine wanachofanya, kusoma tactics mbalimbali kwenye mitandao ya wenzetu, na pia kuwa na akili ya kufanya presentation. I mean kufikisha ujumbe kwenye hadhira na ujumbe ukaeleweka.
Ndiyo maana hawa wachambuzi unaweza kumkuta anakosoa mbinu za kocha, siku yeye akipewa timu anaboronga.
Mfano wa hivi karibuni ni Gary Neville, alipewa timu ya Valencia, angalia alifukuzwa baada ya games ngapi. Lakini ni pundit mzuri sana.
Thierry Henry, wote tunaukubali uwezo wake kama mchezaji, na amekuwa pundit anayeheshimika na kulipwa hela nzuri, lakini performance yake kama kocha wote tumeiona.
Kwa hiyo wachambuzi ni kama sisi tu, wasikutishe.
Sijawahi kuwa serious hata siku moja mkuu mbona unansingizia?Do not take it too serious,I like uchambuzi wa George Ambangile.
Kaka mpaka Mimi pia ni ambangile?Ukute hizi ID zote ni zake.
Kaka mpaka Mimi pia ni ambangile?
ππππ