Mchambuzi gani wa soka unamkubali hapa Tanzania?

Mchambuzi gani wa soka unamkubali hapa Tanzania?

Umemsikiliza au unamchukulia powa tu?
Au una chuki nae binafsi?
Nahisi haujamsikiliza.
Nahisi una mhukumu sababu ya kufuga dread locks (rasta) kitu ambacho ni prejudice au tuite bad perception bila kuwa na taarifa sahihi. Usimhukumu mtu kwa muonekanao.
Usimhukumu mtu kwa kuangalia taarifa zake za zamani, watu hubadilika sana.

FYI, Barack Obama and Bill Clinton smoked pot too. Smoking pot doesn't mean you know nothing.
How do you rate yourself comparing to pot smokers like The Late Bob Marley and the public figures mentioned above?
asante ntamsikiliza..
 
Unajua kwenye haya mambo inategemea na kipi unachotaka kukisikia, unachojua, na kama hauko kiushabiki au la.

Kiemba huwa mara chache ukimsikia kwenye buildup ya games local anafanya vyema sana, sijui labda ni vile sifatilii game za ndani, ila Kiemba namwelewa pia.
Ntamsikiliza mkuu nione mwenyewe haya mnayosema.
 
Ha haaa ..
Maisha ni kujikubali mwenyewe ndipo utakubalika na wengine.
Anyway itabidi unialike leo tukaangalie wote mechi ya Liverpool FC Vs Everton FC a.k.a Merseyside derby unichambulie niangalie kama ulicho sema ni sahihi.
Hawa wachambuzi wa Bongo ni ujimwambafai tu,utasikia Edo kumwembe anakuambia nilikuwa Milan lini sijui kikaenda kikarudi.
 
Daah,
Kweli mkuu.
Sema Edo Kumwembe kweli anatembelea sana hivyo viwanja. Wacha ajimwambafai mkuu.
Ni kweli ,ila utasikia nilikuwa milan,anapoteza muda kwa kujiongelea badala ya kustick kwenye point.Sijawahi msikia George akisema alikuwa wapi sijui.Tu put it serious napenda uchambuzi wa Ambangile.
 
Ni kweli ,ila utasikia nilikuwa milan,anapoteza muda kwa kujiongelea badala ya kustick kwenye point.Sijawahi msikia George akisema alikuwa wapi sijui.Tu put it serious napenda uchambuzi wa Ambangile.
Hoja yako nimeielewa sasa mkuu.
Anatumia muda muhimu kuanza kutueleza kuhusu yeye binafsi badala ya kwenda kwenye hoja mambo ya kiufundi.
 
George Ambangile yule jamaa ni fundi sanaaaaaaa, Kiemba pia si mbaya anajitahidi Clouds wamuajiri kabisa maana pale hakuna wa kumfikia

Ila tanzania One ni George Ambangileeeee
 
Umetumia lugha kali sana.

Hawa wachambuzi wa mpira hawajasomea popote, ni ufatiliaji tu, kuangalia wengine wanachofanya, kusoma tactics mbalimbali kwenye mitandao ya wenzetu, na pia kuwa na akili ya kufanya presentation. I mean kufikisha ujumbe kwenye hadhira na ujumbe ukaeleweka.

Ndiyo maana hawa wachambuzi unaweza kumkuta anakosoa mbinu za kocha, siku yeye akipewa timu anaboronga.

Mfano wa hivi karibuni ni Gary Neville, alipewa timu ya Valencia, angalia alifukuzwa baada ya games ngapi. Lakini ni pundit mzuri sana.

Thierry Henry, wote tunaukubali uwezo wake kama mchezaji, na amekuwa pundit anayeheshimika na kulipwa hela nzuri, lakini performance yake kama kocha wote tumeiona.

Kwa hiyo wachambuzi ni kama sisi tu, wasikutishe.
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom