Mchambuzi Oscar Oscar atabiri Yanga kupindua matokeo Sudan kwa kufanya hivi

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Mchambuzi Oscar Oscar ametoa mtazamo wake kuhusu marudiano ya Yanga na Al Hilal.
Screenshot_20221012-110322.png
 
Amezungumza ukweli.
Amezungumza ukweli, au ujinga! Mechi iliisha kwa sare. Hivyo hakuna timu iliyo jihakikishia kusonga mbele hatua inayofuata mpaka sasa!

Ni baadhi tu ya nyinyi mashabiki mbumbumbu wa simba, akiwemo huyo mwenzenu oscar oscar ndiyo mnajitahidi kupotosha ukweli.
 
YANGA MKIJA SHIRIKISHO MNAKUTANA NA VIPERS [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] HII TIMU INA MIKOSI [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Amezungumza ukweli, au ujinga! Mechi iliisha kwa sare. Hivyo hakuna timu iliyo jihakikishia kusonga mbele hatua inayofuata mpaka sasa!

Ni baadhi tu ya nyinyi mashabiki mbumbumbu wa simba, akiwemo huyo mwenzenu oscar oscar ndiyo mnajitahidi kupotosha ukweli.
Hujui maana ya kutumia vema uwanja wa nyumbaini subiri wanamume wakakuoneshe
 
Amezungumza ukweli, au ujinga! Mechi iliisha kwa sare. Hivyo hakuna timu iliyo jihakikishia kusonga mbele hatua inayofuata mpaka sasa!

Ni baadhi tu ya nyinyi mashabiki mbumbumbu wa simba, akiwemo huyo mwenzenu oscar oscar ndiyo mnajitahidi kupotosha ukweli.
Kwa hiyi kule sudan wakitoa suluhu bila kufungana yanga tunaenda makundi
 
Amezungumza ukweli, au ujinga! Mechi iliisha kwa sare. Hivyo hakuna timu iliyo jihakikishia kusonga mbele hatua inayofuata mpaka sasa!

Ni baadhi tu ya nyinyi mashabiki mbumbumbu wa simba, akiwemo huyo mwenzenu oscar oscar ndiyo mnajitahidi kupotosha ukweli.
Sudan ya Temeke wakitoka 0-0 nani atakua katolewa?
 
Back
Top Bottom