Mchambuzi Oscar Oscar atabiri Yanga kupindua matokeo Sudan kwa kufanya hivi

Mchambuzi Oscar Oscar atabiri Yanga kupindua matokeo Sudan kwa kufanya hivi

YANGA MKIJA SHIRIKISHO MNAKUTANA NA VIPERS [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] HII TIMU INA MIKOSI [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
WE Carrasco putin HII STYLE YAKO INANICHEKESHA MNO..!
 
Amezungumza ukweli, au ujinga! Mechi iliisha kwa sare. Hivyo hakuna timu iliyo jihakikishia kusonga mbele hatua inayofuata mpaka sasa!

Ni baadhi tu ya nyinyi mashabiki mbumbumbu wa simba, akiwemo huyo mwenzenu oscar oscar ndiyo mnajitahidi kupotosha ukweli.
Mbona unapenda kuwasingizia Simba kila unapofanya maujinga yenu? Mlishindwa wenyewe kuwafunga hao waarabu au refa alikuwa Karia?
 
Kwa nini Yanga wanajipiga vifua eti watapindua meza kibabe afu wanasahau huenda wakatandikwa bakora nyingi za kuwatosha?

Utabiri wangu hadi 1 half inakwisha Al Hilal 2-Yanga 0

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Na mkienda shirikisho mtachagua wenyewe mcheze na de agosto au vipers
 
Wale mashabiki wao sijui wasiwaingize
 
Hahaaaa

Back
Top Bottom