WE Carrasco putin HII STYLE YAKO INANICHEKESHA MNO..!YANGA MKIJA SHIRIKISHO MNAKUTANA NA VIPERS [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] HII TIMU INA MIKOSI [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mbona unapenda kuwasingizia Simba kila unapofanya maujinga yenu? Mlishindwa wenyewe kuwafunga hao waarabu au refa alikuwa Karia?Amezungumza ukweli, au ujinga! Mechi iliisha kwa sare. Hivyo hakuna timu iliyo jihakikishia kusonga mbele hatua inayofuata mpaka sasa!
Ni baadhi tu ya nyinyi mashabiki mbumbumbu wa simba, akiwemo huyo mwenzenu oscar oscar ndiyo mnajitahidi kupotosha ukweli.
Kima mnahangaika sanaMikia mnahangaika sana
Na ndiyo sifa ya kwanza ya kuwa mwanayanga,kujitoa ufahamu na kubakia zombie tu.Anajitoa akili tu huyu,anajua yote hayo
Eti leo osca oscar ni simba,hahaaa akiwaga anawatetea huwa hawauoni huo uyanga wakeMbona unapenda kuwasingizia Simba kila unapofanya maujinga yenu? Mlishindwa wenyewe kuwafunga hao waarabu au refa alikuwa Karia?
Mbili mojaKuna wati hawana akili aisee! Sasa Yanga inaenda kupindua hayo matokeo, kwani kwenye mchezo wao wa awali ilifungwa magoli mangapi?
Huyo fuata upepo..yuko kibiashara zaidiEti leo osca oscar ni simba,hahaaa akiwaga anawatetea huwa hawauoni huo uyanga wake
YangaSudan ya Temeke wakitoka 0-0 nani atakua katolewa?
Al hilalKwa hiyi kule sudan wakitoa suluhu bila kufungana yanga tunaenda makundi
Mwaka 2019 mbona mlishindwa kutumia huo uwanja wa nyumbani na mkatolewa?Hujui maana ya kutumia vema uwanja wa nyumbaini subiri wanamume wakakuoneshe
Mchambuzi Oscar Oscar ametoa mtazamo wake kuhusu marudiano ya Yanga na Al Hilal.
View attachment 2384942
YANGA MKIJA SHIRIKISHO MNAKUTANA NA VIPERS [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] HII TIMU INA MIKOSI [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]