Mchambuzi Oscar Oscar wa EFM: Malalamiko ya Kipuuzi ya Kocha wa Orlando Pirates FC hayayahusu Simba SC hata kidogo na popote pale

Sasa mtu kama wewe hohehae unaimbie eti "tukutane kwa madiba", kisha nikae kuanza kujibizana na wewe sio kupoteza muda tu?

Kwa madiba unafikaje??
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Kwa hiyo umehisi unamfahamu na ni hohehahe..!!! JF banaa..!!! Unaweza mkabidhi mtu umasikini kumbe ni tajiri au kinyume chake
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Kwa hiyo umehisi unamfahamu na ni hohehahe..!!! JF banaa..!!! Unaweza mkabidhi mtu umasikini kumbe ni tajiri au kinyume chake
Hahaha ungeuliza kwanza kwanini nilimwambia hivyo, sometimes unamjua tu kutokana na nyuzi au comments za kulialia ugumu wa maisha.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha ungeuliza kwanza kwanini nilimwambia hivyo, sometimes unamjua tu kutokana na nyuzi au comments za kulialia ugumu wa maisha.πŸ˜‚πŸ˜‚
Wengine matapeli.. Wanalialia kujenga sympathy...!! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Haya ukiyasema kama hivi na wewe tarajia majibu hayohayo ukienda ugenini na kutetendewa mabaya. Ni umbumbumbu kudhani kwamba dhamana ya mapokezi na huduma Kwa timu pinzani inakuwa mikononi mwa mamlaka ya nchi na siyo timu mwenyeji. Sikutegemea mchambuzi anayejulikana kama Oscar asijue Simba kama mwenyeji anahusikaje na mapokezi ya wageni wao.
Mbona watanzania ni wasahaulifu kiasi hiki? Malalamiko hayo kama yana ukweli yakemewe yasirudiwe lakini Simba kujivua uwajinikaji ni kichekesho. Mara ngapi tumewasikia Simba, Yanga, au hata Taifa stars wakilalamikia vitendo vya hujuma wanapokwenda ugenini hasa nchi za Kiarabu? Kwa nini huwa hamuwalaumu uhamiaji au Polisi wa nchi husika badala yake mnalaumu Wapinzani wenu?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Oscar Oscar ana akili, licha ya kwamba yeye ni Yanga lakini huwa haiongelei vibaya Simba
Ni matumaini yangu kuwa Taarifa za Msiba mzito wa Tumaini Mkono unazo Ndugu. Juzi na Jana nikiwa na Yule Rafiki yako wa hapa JamiiForums aliyeko Kifungoni sasa kwa Sheria za Moderators wa JamiiForums tumeshinda mno hapo kwa Mzee Juma ( Mbezi Juu ) na akina Wazee Brigedia Mstaafu Profesa Kohi, Kanali Mstaafu Mugwe na Walevi Wenzako akina Emanuel, Stewart, John na Oswald.
 
Ukiona nawe unalalamikiwa jua usha mature.

Ukiwa na mtoto wa kiume na ikawa hujawahi sikia lawama zozote zile unaletewa jua bado huna mtu.

Saivi simba imesogea kiasi ambacho nayo inaogopwa.
 
Mpaka unazeeka kwa Madiba utapasikia tu, hapo ulipo ukute hata Dar es Salaam tu hujawahi kufika.

Watu wa Jf bwanaπŸ˜„
Jaman utani wa kweli n marufuku hukuuu.
Acha makwazo kwa member wenzako kwa utani unaofanana na ukweli. Au nkumnee wa pin omment yako?πŸ˜‚
 
Simba vs almasry
Simba vs plateau United
Hizo mechi zote simba alifanyiwa umafia na yule nguruwe pori anajua ila wachambuzi wakakaa kimya halafu mbona simba kaenda ugenini anakula hamsa hamsa hakuna aliyelalamika ila senzo na manara ndo wamewaaminisha ujinga wale wa Zulu.
 


Popoma katika ubora wako 🀣🀣🀣🀣🀣

Eti yule rafiki yako wa hapa JamiiForums aliyefungiwa

Yaani unajisema mwenyewe

Bahati nzuri MINOCYCLINE ni Tetracyclines wakati Gentamycin / GENTAMYCINE ni aminoglycoside 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Najiuliza tu.
Hivi simba akienda sauzi akafanyiwa hujuma kuna mcha mbuzi yeyote wa sauzi atajitokeza kuwatetea Simba?

Na Orlando pirates wakija kupewa penalty kimakosa atajitokeza mchambuzi wa sauzi kuitetea Simba?
 
Najiuliza tu.
Hivi simba akienda sauzi akafanyiwa hujuma kuna mcha mbuzi yeyote wa sauzi atajitokeza kuwatetea Simba?

Na Orlando pirates wakija kupewa penalty kimakosa atajitokeza mchambuzi wa sauzi kuitetea Simba?
Mjinga wewe

Kwa nini utetee madhaifu? Hakuna anayekutetea. Ukifungwa umefungwa
 
Sasa mbona hao wanalalamika wanataka watetewe na madhaifu yao?
walifanya makosa beki akatoa Boko walitaka wasaidiwe vipi?
Mjinga wewe

Kwa nini utetee madhaifu? Hakuna anayekutetea. Ukifungwa umefungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…