Mchambuzi Oscar Oscar wa EFM: Malalamiko ya Kipuuzi ya Kocha wa Orlando Pirates FC hayayahusu Simba SC hata kidogo na popote pale

Mnanua mpaka refa na bado mnashinda kimoko ngoja mkanyanduliwe
 
Kwa wale matomaso wa zama hizi.
Mjiridhishe Sasa kuwa ile ilikuwa penati HALAL.
muamuzi kumbuka alikuwa na beji ya FIFA na VAR ilikuwepo
 
Senzo kutwa kuchwa yupo na Manara unategemea wataongea nini? Manara kamjaza upepo senzo na senzo kawajaza ujinga wasouth wenzie
 
Mkuu simba kajivua wapi kumuhudumia mgeni wake? Umeona press release ya babra? Hao jamaa walikataa usafiri hadi hoteli waliyopewa na simba je simba angefanyaje?
 
Zama za bia za bure hakika zimeisha.
Huko kuzimu naona timu imetimia, ikiongozwa na Zefa
 
Benny yupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…