Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
إنا لله و إنا إليه راجعونBBC Swahili wanaripoti kuwa mwandishi wao wa zamani na mchambuzi wa siasa hasa za middle east Mzee Ahamad Rajabu ameaga dunia muda mfupi.
Ahamad Rajabu alikuwa kinara wa taarifa za mashariki ya kati na dunia kwa ujumla
USSR
=
BBC wameandika kuwa Taarifa zilizowafikia hivi punde kutoka chumba chetu cha Habari zinasema mwandishi wa Habari wa gazeti la Africa Event, pia mtangazaji wa zamani wa BBC, bwana Ahmed Rajab amefariki dunia jioni hii huko London, Uingereza.
Taarifa zaidi zinatarajiwa kutolewa baadaye na familia zikiwemo taratibu maziko.
View attachment 3225293
Ahmed Rajab alijiunga na BBC mwazoni mwa miaka ya 1960.
Baada ya kustaafu Ahmed Rajab alikuwa mmoja wa wachambuzi wa kutegemewa wa masuala ya kimataifa wa BBC si chache ziliopita.
Mara ya mwisho alifanya uchambuzi kuhusu mzozo wa Gaza Januari 30 mwaka huu.
Source: BBC swahili
Kikeke si yupoMtu makini ametutoka zimebaki taka taka tu katika media zetu ni mwendo wa kusifia ngono, Mama mama na matangazo ya kubeti.
Rest in peace Comrade.BBC Swahili wanaripoti kuwa mwandishi wao wa zamani na mchambuzi wa siasa hasa za middle east Mzee Ahamad Rajabu ameaga dunia muda mfupi.
Ahamad Rajabu alikuwa kinara wa taarifa za mashariki ya kati na dunia kwa ujumla
USSR
=
BBC wameandika kuwa Taarifa zilizowafikia hivi punde kutoka chumba chetu cha Habari zinasema mwandishi wa Habari wa gazeti la Africa Event, pia mtangazaji wa zamani wa BBC, bwana Ahmed Rajab amefariki dunia jioni hii huko London, Uingereza.
Taarifa zaidi zinatarajiwa kutolewa baadaye na familia zikiwemo taratibu maziko.
View attachment 3225293
Ahmed Rajab alijiunga na BBC mwazoni mwa miaka ya 1960.
Baada ya kustaafu Ahmed Rajab alikuwa mmoja wa wachambuzi wa kutegemewa wa masuala ya kimataifa wa BBC si chache ziliopita.
Mara ya mwisho alifanya uchambuzi kuhusu mzozo wa Gaza Januari 30 mwaka huu.
Source: BBC swahili
Namuonea huruma kafa katika uislamu bila Yesu.BBC Swahili wanaripoti kuwa mwandishi wao wa zamani na mchambuzi wa siasa hasa za middle east Mzee Ahamad Rajabu ameaga dunia muda mfupi.
Ahamad Rajabu alikuwa kinara wa taarifa za mashariki ya kati na dunia kwa ujumla
USSR
=
BBC wameandika kuwa Taarifa zilizowafikia hivi punde kutoka chumba chetu cha Habari zinasema mwandishi wa Habari wa gazeti la Africa Event, pia mtangazaji wa zamani wa BBC, bwana Ahmed Rajab amefariki dunia jioni hii huko London, Uingereza.
Taarifa zaidi zinatarajiwa kutolewa baadaye na familia zikiwemo taratibu maziko.
View attachment 3225293
Ahmed Rajab alijiunga na BBC mwazoni mwa miaka ya 1960.
Baada ya kustaafu Ahmed Rajab alikuwa mmoja wa wachambuzi wa kutegemewa wa masuala ya kimataifa wa BBC si chache ziliopita.
Mara ya mwisho alifanya uchambuzi kuhusu mzozo wa Gaza Januari 30 mwaka huu.
Source: BBC swahili
Shukran za dhati dogo, na wewe pia.
RIP mwanangu RajBBC Swahili wanaripoti kuwa mwandishi wao wa zamani na mchambuzi wa siasa hasa za middle east Mzee Ahamad Rajabu ameaga dunia muda mfupi.