implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
Ooh!!poleni sana wanafamilia,wachambuzi na wasikilizaji wenzangu,hakika Ahmed rajabu alikuwa gwiji katika uchambuzi wake,hasa eneo la mashariki ya kati na pia kwingineko,nilipenda sana kusikiliza uchambuzi wake,
Ni yeye pia alokuwa jasiri kumuoji osama bin laden,na wengineo watu ambao uwezi kudhania kuweza kuojiwa,mungu amuweke mahali pema peponi aamina.
Ni yeye pia alokuwa jasiri kumuoji osama bin laden,na wengineo watu ambao uwezi kudhania kuweza kuojiwa,mungu amuweke mahali pema peponi aamina.