TANZIA Mchambuzi wa siasa na mtangazaji mkongwe Ahmed Rajabu aaga dunia

Mzee huyu anajua Hadi anakera, uchambuzi wa siasa za kimataifa Yuko juu sana Kwa watangazaji wetu wa TZ, siku hizi TZ hakuna watu kama hawa, profile yake ni ya juu mnoooo, imagine toka miaka ya sabini mwanzoni tayari Yuko UK... Such is life.
 
Dah!...Rip

Poleni sana wanahabari Pascal Mayalla na wanahistoria Mohamed Said
 
Pole sana Kwa familia yake na watu wake wa karibu. Hakika Ahmed Rajab alikuwa nguli wa habari za kimataifa. Nilikuwa mpenzi mkubwa wa makala zake katika gazeti la Raia Mwema, makala iliyokuwa na jina la Barazani kwa Ahmad Rajab. Pumzika Kwa amani jagina.
 
Buriani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…