TANZIA Mchambuzi wa siasa na mtangazaji mkongwe Ahmed Rajabu aaga dunia

Nimeshtuka mno kuondokewa na Ahmed Rajabu ambaye mara kadhaa nimekuwa naye kwenye kipindi cha maoni cha meza ya duara cha Sauti ya Ujerumani (DW), tukichambua masuala mbalimbali duniani kote. Nimeumia sana!
 
Gwiji wa Siasa za dunia
 
R.I.P
Huyu kweli mkongwe since 1960
 
Nimeshtuka mno kuondokewa na Ahmed Rajabu ambaye mara kadhaa nimekuwa naye kwenye kipindi cha maoni cha meza ya duara cha Sauti ya Ujerumani (DW), tukichambua masuala mbalimbali duniani kote. Nimeumia sana!
Pole sana ndugu...

Uchambuzi wenu wa masuala ya kimataifa umenivutia mno kukipenda hicho kipindi.

Poleni sana kwa kumpoteza nguli wa habari na uchambuzi wa masuala ya kimataifa.
 
Daa nimechelewa kuona Taarifa daaaa imenigusa sana,
Nilikua namkubali alikua professional sana katika taaluma yake,
Alikua hana mihemko wala kupendelea upande,
Mchambuzi bora sana kwenye vita ya Gaza!

R.I.P
 
RIP Gwiji wa khabari, mtu pekee ambaye anaweza kuandika Tanzia yake ni Mzee Mohammed Said

Maktaba kubwa imeungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…