TANZIA Mchambuzi wa siasa na mtangazaji mkongwe Ahmed Rajabu aaga dunia

Ooh!!poleni sana wanafamilia,wachambuzi na wasikilizaji wenzangu,hakika Ahmed rajabu alikuwa gwiji katika uchambuzi wake,hasa eneo la mashariki ya kati na pia kwingineko,nilipenda sana kusikiliza uchambuzi wake,
Ni yeye pia alokuwa jasiri kumuoji osama bin laden,na wengineo watu ambao uwezi kudhania kuweza kuojiwa,mungu amuweke mahali pema peponi aamina.
 
Mohamed
Mohamed Said yuko wapi?
Huyu ni rafiki na mzee mwenzake. Na sijui alitokea wapi Afrika Mashariki ?
 
Wazee kama hawa wanaoshinda kwenye studio zenye viyoyozi lazima homa ya nyumonia inahusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…