Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

Juice nzuuri kwa afya
Mung'unya+tango+ pilipili hoho
Pilipili hoho+ kitunguu Swaumu+ Limao hi juisi acha kabisaa utamu wake
 
Vipi ukisaga karanga mbichi mkuu
 
Hii ni fursa ya kutengeneza hela hapa mjini. Ngoja niifanyie kazi
 
Binafsi nimepitia mapendekezo yenu kama member na kuona kila mmoja anagyoweza kutoa kile anachokipenda kulingana na ifahamu wake.

Ila kama darasa ni muhimu kujua yafuatayo:

1. kazi ya kila tunda au kile kinachoweza kutumika katika uandaaji wa juice.

2. kiwango au kipimo cha kila tunda katika kupata uwiano wa kila Lita moja ya uandaaji wa juice.

3. Ladha au burudani inayotakiwa kupatikana kwa mlaji baada ya uandaaji wa juice.

4. Viini lishe kama madini, protein na vitamins vilivyomo ndani ya juice.

5. Matumizi na faida ya juice mwilini hasa kwa upande wa ubora wa lishe, tiba mbadala, kinga na afya ya mwili.

Baada ya hapo utakuwa unaweza kutengeneza juice iliyo bora zaidi na kwa malengo ya kukidhi mahitaji ya mlaji au mteja wako endapo kama unalengo la kufanya biashara.

Kwa wenye malengo ya kufanya biashara ya juice karibu tuwasiliane kupitia senicoms@gmail.com au WhatsApp +255787220120
 
Tatizo hujaweka viwango. Tende kiasi gani, karanga kiasi gani nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…