Mchangiaji Malumbano ya Hoja ITV na Radio One: Wanawake wengi Walioajiriwa Maofisini walitoa na wanatoa bado Rushwa ya Ngono

Ndio maana kuna jamii haziruhusu wake zao au watoto wa kike kuajiliwa labda iwe family business au ndugu wa karibu au family friend na sio vinginevyo.

WaAfrica tumefail saana kuwaacha dada zetu na mama zetu kutoka na kuzurura hovyo hovyo kutafuta vipato.

Afghanistan mwanamke haruhusiwi kutoka zaidi ya 50km bila muangalizi.
 
Unazungumzia wanawake wa bongo au Ulaya?
 
Kwa hiyo unataka tupelekane hadi lunch ndiyo ujuwe hii ni office isiyo na Malipo!!??
 
Malays ni malaya hata awe mama wa nyumbani full time abatement hata na muuza genge akiaha kwenda kusuka nywelw.anamalizana huko.huko,akienda sokoni anamalizana huko huko,ukitoka kidogo tu hesabu maumivu

Kifupi vigumu kudhibiti mwanamke malaya
Hata kama siyo Malaya kama ameumbika vizuri aiseeee hawa viumbe hupitia changamoto nyingi sana za kutongozwa na vishawishi mpaka utawaonea huruma. Nilipokuwa chuo kuna dada mmoja mrembo wa haja na mcha Mungu mzuri tuu ma lecturers fulani kwa nyakati tofauti walimtia majaribuni mpaka akachanganyikiwa. Lecturer aliyekuwa supervisor wake akamtafutia grant kwenye research yake ya karibia milioni 7, yaani alikuwa mgumu but eventually alimegwa daah...
 
So we umepewa two options za kuoa. Demu kaishia la Saba ana bikra she's 25 Hana kazi yupo nyumbani tu au 25 years old woman ana masters ana kazi, nani utamuoa?
 
So unataka tuishi Kama Afghanistan? Nipe sababu why mwanamke afugwe Kama kuku?
 
Wanawake wa Tanzania Mkuu. Tatizo bado mna mindset za zamani mambo yamebadilika Wanawake sasa wana nguvu ya uchumi na mamlaka anatoa penzi kwa kutaka mwenyewe sio kwa kufosi
Akiwa polygon sawa; tofauti na hapo kuna ushawishi mkubwa sana
 
Huu ulioeleza ndio ukweli.Na nina uhakika kakuelewa.
 
Hata mimi itakuwa ngumu sana kuna Mke ambaye mfanya kazi maofisini, kwa hakika hautokuwa rahisi.
 
secta mbaya ni mkeo awe nesi, shida. Ukizingatia madaktari ofisini mwao kuna vitanda harafu wanaaminiana kuwa utaalam wa afya, kuepuka mimba ni wao! Huwa wanatibuana kavu kavu hasa night shift
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…