miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Wakili anatumia range siku hizi pia. Yuko vfyede sanavitu vya kawaida sana hivi kwa wapambanaji.. maana hata ushuru wa disco 4 umepoa.. sio mkali sana.. na hata bezi zake hazina maajabu.. Wakili msomi naona leo anaendelea kumwaga moto kwa Urio hadi anatia huruma..
pesa pesa mkuu.. tuzisafe siku moja tuangalie madhaifu ya Ferrari πππWakili anatumia range siku hizi pia. Yuko vfyede sana
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Usifuate mkumbo ndugu.Kuna jamaa yangu tulikuwa tuagize nae gari pamoja ila mie sikuwa nimefikia kiwango cha pesa.. yeye yake imekuja na alichukua disco 4.. anajua nipo kwenye hatua za mwisho na mie kuagiza kajaribu kunishawishi kwa kila namna, nikaona isiwe case acha nije nipate na huku uzoefu.. kwanza mie sio mpenzi wa SUV kidogo mdau hapo kaniambii hii inapanda na kushuka... toka mwanzo target yangu ilikuwa ni E350 japo nayo itanipa shida mahala ambapo naenda kuishi kwa sasa hivi nahisi ndani ya mda mfupi haitotamanika hata kidogo..
Kwa mantiki hii, hiyo discovery itakutoa roho.SQ5 kidogo ndio hela yangu inaweza ku fit kuna moja nimeona ya 2013.. SQ7 tena ya 2017 parefu
Benz sawa na Porsche, depreciation rate yake ndogo sana.sema SUV za benz bezi zimesimama [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. hakuna unyonge kabisa hiyo GLE hazicheki na nyani..
Acha mambo yako Discovery 4 bei ya kawaida wapi mzee? Chuma cha 2015-2016 kinasimamia GBP 29,000 ushuru wake 28,000,000 hauwezi kuuliza uzoefu mzee..tusiongopeane...Nataka kujua experience walizokutana nazo, kuna wana wangu nawafahamu wamezinunua wamepaki na wengine waziuza faster.. hapa nachukua addition kabla ya kuamua la kuamua. Disco 4 bei za kawaida sana ina cha level gani asee?
JF jinsi ilivyo mzee unaweza kuta huyu mtu siku anakuja kuulizia water pump ya Vitz..au naonekana hater...mzee...πππMjomba atakua Yuko njema,nilishamuona wakili Kibatala akiwa na discovery 4 na V8(200 series) enzi zile za kesi ya Lulu.
Mercedes Benz ML Vipi?sema SUV za benz bezi zimesimama ππππ.. hakuna unyonge kabisa hiyo GLE hazicheki na nyani.
Huwa naiona Gereji pale Kawe Stand, Kwa JM ndio anapopiga service.Wakili anatumia range siku hizi pia. Yuko vfyede sana
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sasa unanipangia mwaka ? unajua nilikuwa nime opt ya mwaka gani na ushuru wake unajua kiasi gani? Ujuaji mwingi hatujuani piga kimya kama unaona haiwezekani.. sio unatapata tapa kuwa haiwezekani.. unataka ikawezekani wapi..Acha mambo yako Discovery 4 bei ya kawaida wapi mzee? Chuma cha 2015-2016 kinasimamia GBP 29,000 ushuru wake 28,000,000 hauwezi kuuliza uzoefu mzee..tusiongopeane...
ML haijawi kunoga hata kidogo.. nina jamaa yangu mmoja analo ila haija sound kabisa.. iliyonivutia ni GLE sema moto bei ya kununua imesimama bado hujaja kwa zakayo ππMercedes Benz ML Vipi?
Chukua Ford Explorer huko mkoani utaishi nayo, Hiyo Discovery 4 Kuna Jamaa yangu yupo Kahama kavuta Mwaka Jana mwishoni anapuliza taratibu huko Mkoa.Nafikiri gari za kisasa nyingi itakuwa matatizo kwa wanao ishi nje ya Dar na mikoa mikubwa.. sio European tu.. nimeona hata hizi toyota za kisasa za full umeme zainawatesa sana mafundi.. kuna moja nilikuta garage inawatos jasho karibia siku tatu hadi natoa gari yangu ila wao bado kimewanga'ang'ania nafikiri sasa hivi hakuna mjapan wala mjerumani.. kama gari ni latest maumivu ni sawa kwa wote
na kweli we ni hater.. hizo vitz tunaonga tukitaka kupuliza..JF jinsi ilivyo mzee unaweza kuta huyu mtu siku anakuja kuulizia water pump ya Vitz..au naonekana hater...mzee...πππ
Land Rover ni kampuni.Hv kuna tofauti ya range rover na land rover?
sikuwa nimefanya conclusion, target yangu ya kwanza ilikuwa Benz. Hii imekuja kuna mwana wangu kaivuta tulikuwa tuagize pamoja.. kanijaza sana upepo na anajua bado sijaagiza.. Ford sijawai zielewa sana.. ( nategemea kuangukia Land lover, Audi, Benz) ndio machaguo yangu yapo humuChukua Ford Explorer huko mkoani utaishi nayo, Hiyo Discovery 4 Kuna Jamaa yangu yupo Kahama kavuta Mwaka Jana mwishoni anapuliza taratibu huko Mkoa.
Mzee baba kama ya kutumia miaka michache hauna lengo la kuuza Nenda mwenyewe South Africa kavute kule Bei za kutabasamu unakuja nalo Bongo na usajili wa Bondeni au utalipa ushuru boda.ML haijawi kunoga hata kidogo.. nina jamaa yangu mmoja analo ila haija sound kabisa.. iliyonivutia ni GLE sema moto bei ya kununua imesimama bado hujaja kwa zakayo ππ
Ina sound kuna mtu wangu yake iliunguza engine, kuagizia the same engine 17 million.. kaachana nayo kaiweka tu.. haya majanga ndio yakanifanya nije huku nimekutana na visa kadhaa vya hizi gari.. ili nione shida ni wamiliki gari au matunzo hafifuKwa mantiki hii, hiyo discovery itakutoa roho.
Kwenye bank account unatakiwa uwe na nusu ya hela ulioinunua hiyo gari, just incase imekukalisha huko porini.
Hii hata mchungaji wangu aliniambia, na akasema kama ukitaka anaweza mtuma mtu kama mie sitaki kwenda akileta hadi hapa.. hivi karibu pale steam car wash ya mlimani city kuna gari tatu zote kali kinyama plate gauteng zilikuja kulamba mvuke.. ilikuwa benz, jaguar ingine sikumbuki hataMzee baba kama ya kutumia miaka michache hauna lengo la kuuza Nenda mwenyewe South Africa kavute kule Bei za kutabasamu unakuja nalo Bongo na usajili wa Bondeni au utalipa ushuru boda.
Naona saizi wazee wa kufata gari South wanapush vitu vizito vikiwa na namba za Gauteng Province na Mpumalhanga ambazo Kwa bongo kutoboa Kodi lazima uumie.