Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

vitu vya kawaida sana hivi kwa wapambanaji.. maana hata ushuru wa disco 4 umepoa.. sio mkali sana.. na hata bezi zake hazina maajabu.. Wakili msomi naona leo anaendelea kumwaga moto kwa Urio hadi anatia huruma..
Wakili anatumia range siku hizi pia. Yuko vfyede sana

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa yangu tulikuwa tuagize nae gari pamoja ila mie sikuwa nimefikia kiwango cha pesa.. yeye yake imekuja na alichukua disco 4.. anajua nipo kwenye hatua za mwisho na mie kuagiza kajaribu kunishawishi kwa kila namna, nikaona isiwe case acha nije nipate na huku uzoefu.. kwanza mie sio mpenzi wa SUV kidogo mdau hapo kaniambii hii inapanda na kushuka... toka mwanzo target yangu ilikuwa ni E350 japo nayo itanipa shida mahala ambapo naenda kuishi kwa sasa hivi nahisi ndani ya mda mfupi haitotamanika hata kidogo..
Usifuate mkumbo ndugu.

Tuliza akili sana, nunua gari ambayo ikikupa shida atleast iwe mara 2 au 3 kwa mwaka. Sio kila mwezi tatizo.

Ingekuwa Audi, Benz, VW, BMW nisingekuwazisha sana. Ila hizo Land Rover zinasifika sana kwa reliability issue.

Inatakiwa ufanye research wewe mwenyewe, very intensive research. Hizi za kuuliza watu, hutapata jibu la uhakika. Utaishia kulishwa matango pori.

Na ukiwa porini nadhani diesel car inakufaa sana hasa kwa SUV. 5l petrol utajikuta unatumia muda mwingi petrol station. Ikiwa diesel unaweza tembea dar mpaka mwanza kwa tank 1.
 
Nataka kujua experience walizokutana nazo, kuna wana wangu nawafahamu wamezinunua wamepaki na wengine waziuza faster.. hapa nachukua addition kabla ya kuamua la kuamua. Disco 4 bei za kawaida sana ina cha level gani asee?
Acha mambo yako Discovery 4 bei ya kawaida wapi mzee? Chuma cha 2015-2016 kinasimamia GBP 29,000 ushuru wake 28,000,000 hauwezi kuuliza uzoefu mzee..tusiongopeane...
 
Acha mambo yako Discovery 4 bei ya kawaida wapi mzee? Chuma cha 2015-2016 kinasimamia GBP 29,000 ushuru wake 28,000,000 hauwezi kuuliza uzoefu mzee..tusiongopeane...
Sasa unanipangia mwaka ? unajua nilikuwa nime opt ya mwaka gani na ushuru wake unajua kiasi gani? Ujuaji mwingi hatujuani piga kimya kama unaona haiwezekani.. sio unatapata tapa kuwa haiwezekani.. unataka ikawezekani wapi..
 
Nafikiri gari za kisasa nyingi itakuwa matatizo kwa wanao ishi nje ya Dar na mikoa mikubwa.. sio European tu.. nimeona hata hizi toyota za kisasa za full umeme zainawatesa sana mafundi.. kuna moja nilikuta garage inawatos jasho karibia siku tatu hadi natoa gari yangu ila wao bado kimewanga'ang'ania nafikiri sasa hivi hakuna mjapan wala mjerumani.. kama gari ni latest maumivu ni sawa kwa wote
Chukua Ford Explorer huko mkoani utaishi nayo, Hiyo Discovery 4 Kuna Jamaa yangu yupo Kahama kavuta Mwaka Jana mwishoni anapuliza taratibu huko Mkoa.
 
Chukua Ford Explorer huko mkoani utaishi nayo, Hiyo Discovery 4 Kuna Jamaa yangu yupo Kahama kavuta Mwaka Jana mwishoni anapuliza taratibu huko Mkoa.
sikuwa nimefanya conclusion, target yangu ya kwanza ilikuwa Benz. Hii imekuja kuna mwana wangu kaivuta tulikuwa tuagize pamoja.. kanijaza sana upepo na anajua bado sijaagiza.. Ford sijawai zielewa sana.. ( nategemea kuangukia Land lover, Audi, Benz) ndio machaguo yangu yapo humu
 
ML haijawi kunoga hata kidogo.. nina jamaa yangu mmoja analo ila haija sound kabisa.. iliyonivutia ni GLE sema moto bei ya kununua imesimama bado hujaja kwa zakayo 😀😀
Mzee baba kama ya kutumia miaka michache hauna lengo la kuuza Nenda mwenyewe South Africa kavute kule Bei za kutabasamu unakuja nalo Bongo na usajili wa Bondeni au utalipa ushuru boda.

Naona saizi wazee wa kufata gari South wanapush vitu vizito vikiwa na namba za Gauteng Province na Mpumalhanga ambazo Kwa bongo kutoboa Kodi lazima uumie.
 
Kwa mantiki hii, hiyo discovery itakutoa roho.

Kwenye bank account unatakiwa uwe na nusu ya hela ulioinunua hiyo gari, just incase imekukalisha huko porini.
Ina sound kuna mtu wangu yake iliunguza engine, kuagizia the same engine 17 million.. kaachana nayo kaiweka tu.. haya majanga ndio yakanifanya nije huku nimekutana na visa kadhaa vya hizi gari.. ili nione shida ni wamiliki gari au matunzo hafifu
 
Mzee baba kama ya kutumia miaka michache hauna lengo la kuuza Nenda mwenyewe South Africa kavute kule Bei za kutabasamu unakuja nalo Bongo na usajili wa Bondeni au utalipa ushuru boda.

Naona saizi wazee wa kufata gari South wanapush vitu vizito vikiwa na namba za Gauteng Province na Mpumalhanga ambazo Kwa bongo kutoboa Kodi lazima uumie.
Hii hata mchungaji wangu aliniambia, na akasema kama ukitaka anaweza mtuma mtu kama mie sitaki kwenda akileta hadi hapa.. hivi karibu pale steam car wash ya mlimani city kuna gari tatu zote kali kinyama plate gauteng zilikuja kulamba mvuke.. ilikuwa benz, jaguar ingine sikumbuki hata
 
Back
Top Bottom