Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

Hv kuna tofauti ya range rover na land rover?

Hivi kuna Tofauti kati ya Toyota Na Crown? Sijui swali lako linafania na hili?

Kwa kifupi kila Range Rover ni Land Rover ila siyo kila Land Rover ni Range Rover.

Ndani ya Land Rover kuna magari kama Range Rover, Discovery, Freelander, Discovery,....

Ndani ya Range Rover kuna magari kama RR yenyewe, RR Evoque, RR Sport na RR Velah.
 
Hv kuna tofauti ya range rover na land rover?

Landrover ni kampuni inayounda Rangerover, ila sasa kwa swali lako jibu linaweza pia likawa ndio kwa maana kuna muundo wa gari uliopewa jina Rangerover (ina series zake), then kuna muundo uliopewa jina Landrover (una series zake)...

Google picha utaona walau utofauti wa nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…