Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
ha haaaa, umeona eeh!hahahaha, umenichekesha sana unajua? afu tukishalipa kodi? mafisadi wanakula maisha tunakuja kutoa povu jf? hahahaha
ha haaaa, umeona eeh!
lakini ndo kimtindo hivyo hivyo tunaing'ang'ania bongo yetu....
you never know, kutesa kwa zamu..... inawezekana na sisi twaweza kufikiwa zamu yetu tukala bata
30's? nitake radhi we dogosubiria ufike 30's uanze kula bata..according to Kaizer! au uanze kutoka na hao mafisadi uwe party ya kufisadi nchi..kama anavyofanya Zahra White! hahaha just kid'n...
30's? nitake radhi we dogo
napenda kusikia mengi kutoka kwa kyanaKyoMuhaya pia. mia
napenda kusikia mengi kutoka kwa kyanaKyoMuhaya pia. mia
hujanitaja front page lakin ume ni tag kwa kuwa naishi singinda poa tu
sina maelezo mengi ila mzarau kwao mtumwa
subiria ufike 30's uanze kula bata..according to Kaizer! au uanze kutoka na hao mafisadi uwe party ya kufisadi nchi..kama anavyofanya Zahra White! hahaha just kid'n...
kama nipo dar es salaam, masaki na nikpadharau hapo ilongero kwetu mi ni mtumwa?
jibu: ni kweli mtumwa ata Jk anawaambia wa ulaya akiendaga kajengeni kwenu
btw..we talking about diaspora's tuwaite watumwa kwa ambao hawajali uzalendo wao?
jibu:ndio kwa kuwa chako ni chako japo tambara na kimfaacho mtu chake,tujengeni singida iwe kama dar ili na wa dar waje singida na vile vile tujengeni tanzania iwe kama ulaya............kwa pamoja tunaweza!
munikome muniwache wivu unawauwaga nyie
kwani hapo kuna mtu amekugusa?
wewe mutoto acha kujipendekeza kwangu
hujanitaja front page lakin ume ni tag kwa kuwa naishi singinda poa tu
sina maelezo mengi ila mzarau kwao mtumwa
wewe mutoto acha kujipendekeza kwangu