Mchango wa diaspora wa kike katika jamii ya kitanzania...

Hata mimi nashangaa mbona majority tu wapo facebook tena tunakaa nao huku mburahati. Pengine kuna walengwa maana sioni logic yoyote ktk hili.. Facebook imejaza watu sasa inategemea wewe unamarafiki wa type ipi. Halafu kusema mtu anajianika I think there is sth behind this. Wengi tumeweza kuwapata watu tuliopotezana nao kwa kuwatafuta huko fb. Anyway inawezekana hata mimi sijielewielewi manake sijaona wanaojikweza humu bali naaona jinsi watu wanavyojaribu kuchangia mada mbali mbali kwa nguvu za hoja .
 
Sandeni
huwa wanasaidia kuingiza watalii nchini na mengine mengi
 
Last edited by a moderator:

no no..kuna watz wewe, wanamambo yakujifil juu..naomba nikuambie kuwa kuna mtu mmoja anaitwa cindy, yeye anaishi washinghton..sasa the way anavyo watukana wenzie na, kujiona wa high class for nothing..
 
Sandeni
huwa wanasaidia kuingiza watalii nchini na mengine mengi

umewahi kuishi maeneo yenye watalii? kafanye utafiti ni watalii wangapi wanaoitembelea tanzania kwa influence ya watanzania wanaoishi huko kwao..au tuwaombe hawa jamaa wa arusha na moshi watufanyie kautafiti kadogo..utagundua tu..
PakaJimmy, Mzee wa Rula, Arushaone na wengine waliopo maeneo yenye watalii wengi..najua hapo dar mkuu Ablessed ni ngumu kukutana na watalii moja kwa moja, labda uwe unafanya kazi kwenye hotel au uwanja wa ndege..
 
Last edited by a moderator:
hata huku kwa mtogole tunatukanana tu. what is so special about yeye kuwa washngton na kutukana? mbona uswahili ndo watu wanavuana nguo tena in a shameful manner kuliko hao wanaotukana kizungu na kuserukamba each other!
no no..kuna watz wewe, wanamambo yakujifil juu..naomba nikuambie kuwa kuna mtu mmoja anaitwa cindy, yeye anaishi washinghton..sasa the way anavyo watukana wenzie na, kujiona wa high class for nothing..
 
hata huku kwa mtogole tunatukanana tu. what is so special about yeye kuwa washngton na kutukana? mbona uswahili ndo watu wanavuana nguo tena in a shameful manner kuliko hao wanaotukana kizungu na kuserukamba each other!

washngton hakuna vumbi...
 
no no..kuna watz wewe, wanamambo yakujifil juu..naomba nikuambie kuwa kuna mtu mmoja anaitwa cindy, yeye anaishi washinghton..sasa the way anavyo watukana wenzie na, kujiona wa high class for nothing..
Huyo hata angeishi huku kinondoni shamba bado angefanya hivyo hivyo sema mnampandisha sababu anaishi maulaya. Kumbuka watu walioenda ulaya walitoka kwenye jamii yetu hii tuliyonayo. Na jamii yetu ina watu mchanganyiko. Kuna walevi,wazinzi, wastaarabu, washenzi, wapole , wagomvi n.k. Na wanapoenda huko wengi wanakua tayari watu wazima sasa unategemea kuishi na wazungu ndio kuacha tabia chafu la hasha. Just be positive , mimi ninaowafahamu walio wengi ni wastaarabu na wengine wanatabia zao ngumu ie namaanisha walioenda huko usa ambao tulikua nao kitaa kimoja . So kwa mtazamo wangu kujikweza ni hulka ya mtu we hujaishi huku tunakoishi tulio wengi eeeh a.k.a uswahilini watu wanatambiana kwa kula nyama tena robo kilo. njoo huku ujionee bwana.
 
Sasa wewe unawatafuta undani mie simo ila ninachojua pato la Taifa halitegemei utalii peke yake. Hivi hata kama watalisaidia Taifa letu umewahi jiuliza ni pesa kiasi gani zinaingia mifukoni mwa wajanja so sioni sababu ya kuconvince wazungu wa watu waje kwetu watupe pesa halafu ziende matumboni mwa wachache. Turekebishe kwanza system iliyoko nchini na tudhibiti mapato ya ndani yasivuje badala ya kutafuta mchawi kwanza. Hawa wanaotuongoza wewe unaridhika na jinsi wanavyoendesha mambo nchini??????????????????????????Kama unashindwa kuigawa keki kwa Taifa lako na unaamua kuila peke yako sasa wewe hata upewe nini utaona hakitoshi tu na utatia ndani ufaidi peke yako. Acha watanue wasijipe headache na hii nchi iliyokosa wamiliki na wananchi wanalia kila kukicha afadhari ya jana.
 

Hata Obama alipomaliza chuo Harvard alienda kuwa community organizer mshahara $15K a year!!
Wangapi wamemaliza vyuo hapo bongo na hawana kazi wanapiga teke?
 
Last edited by a moderator:

Diaspora wana uwezo kabisa wakututete kwenye nyanja za kimataifa juu ya ufisadi unaoendelea..
Na watu wakashtuka
 
Diaspora wana uwezo kabisa wakututete kwenye nyanja za kimataifa juu ya ufisadi unaoendelea..
Na watu wakashtuka
unadhani hawafanyi, wanafanya bwana. Sipendi sana kuingilia mambo ya siasa lkn hebu chukua mfano wa yaliyotokea Z'bar , wameletwa wapelelezi wa kimataifa wamefanya kazi yao , wakamliza kisha haaooo wakasepa , je kuna hatua yoyote iliyochukuliwa ie kumalizia . Wadosi wanajua kinachoendelea nchini lkn hawawezi kuingilia mambo ya ndani ya nchi kumbuka na wao system inapokua loose wanapata mwanya wa kupeleka mautajiri yetu kwao ili wakwao wafaidi. Sasa tusitegemee mkombozi toka nje au hao wakaa nje kwanza wao wachache ukilinganisha nasie tuliopo home. Tugangamale kila mara tuwahoji viongozi wetu tunapokua haturidhishwi na mambp flani kama matumizi, wizi n.k. Tukiweza kulinda kilichopo nchini mbona tutatoka tu.
 

Hapo kwenye red ndiyo mimi naona kiini cha mjadala huu ulioletwa hapa...
Unasema wanapata mwanya wa kuchukua mautajiri yetu..
ni kwanini na watu wetu huko nje wasiyachukue mautajiri yao
na watu wetu wafaidi?
Unajua Marekani Na Nchi nyingi za ulaya ni matajiri kutuzidi sisi...

Na hapo kwenye blue, nina swali moja..
Hivi ukichukua idadi ya Wazungu wanaoishi hapa Tanzania
Ukalinganisha na
Idadi
ya Watanzania Wanaoishi Ulaya na Marekani ni Wapi wengi?

Ukinijibu hapa nadhani nitakuwa na swali moja jingine...
BTW nafurahishwa na maelezo yako ya utetezi!!
 
Mkuu Ablessed...
Nangoja unijibu hayo maswali yangu hapo juu.. Then nitasema kitu..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…