Mchango wa diaspora wa kike katika jamii ya kitanzania...

mbona si tuko bongo na tunasaka mahela na mafanikio yetu.....
tatizo wanadhani huko kuna shortcut ya good life

mkuu unaizungumziaje hali ya baadhi ya watu walioko nje ya nchi kujiona miungu watu?. kwanini kama alikua anaishi mromboo kwao na Mrembo by Nature akienda ulaya akarudi hataki kurudi? sanasana atafikia masaki, oysterbay au kwa ndugu yake mwenye nazo. hili unalisemeaje mkuu?. mia
 
Last edited by a moderator:

kujisahaulisha lugha na kujiita bilionea wakati kapuku sio ya kuyazingatia

chakuzungumzia ni vile mtu anavyoweza kuisadia familia na jamii aliyotoka kimtazamo,kifedha n.k
 
huyu safi sana! na inafurahisha kusikia maendeleo mazuri kiasi hiki..
kuna kina mange bana..what do they brought? na ndiyo wanaoongoza kujifil
Mkuu, hayo yote ni tisa! Sasa pokea kumi, Sawa siye twaiona bongo ni pana maisha magumu NO water,No Umeme,nk au siyo? Lakini wapo humu nchini wahamiaji kibao wanaiona kwa mwelekeo wao kuwa ni shamba la Bibi !! Wengi wananufaika na kujenga makwao. Ninaongea na mgeni mmoja anaiambia kesha jenga properties 3 hapo kenya tu. Sasa
basi wachina watakuwa wamesha fanya kuliko.!! kila mmoja na mtazamo wake. Sii tuliosiwa tutembe na tutafute riziki kwenye mgono wa ardhi hii? Popote ukipiga hatua mbili tatu Basi Mungu anakusogezea karibu.
good luck
 
ni big deal kwa watu kama wakina Natalia ambao kutwa wapo kusifia mali za mume alizorithi

lafu akija bongo eti ananishangaa " figganigga yaani bado unapanda daladala!?" na kuishia kukodi taxi impeleke salon kusafisha kucha ili aonekane yupo juu. sijui kwanini inakua hivi. mia
 
Last edited by a moderator:
lafu akija bongo eti ananishangaa " figganigga yaani bado unapanda daladala!?" na kuishia kukodi taxi impeleke salon kusafisha kucha ili aonekane yupo juu. sijui kwanini inakua hivi. mia

hahaaa alitaka ukodi tax kama yeye........,
kama ana pesa si angenunua gari lake limpeleke huko saloon
 
Huu mjadala nilitegemea uwe mzuri lakini naona uko "low profile"

Mkuu jaribu kuufanya uwe high. toa mchango wako mkuu sababu haya ni mawazo ya watu na wana uhuru wa kusema. kwa upande wako unasemeaje?. uwepo wa wakinadada majuu umebadilisha vipi maisha ya mtanzania na africa kwa ujumla? nazungumzia wanawake sababu wanaume wapo na mifano hai ambao wamerudi na kufungua miradi pamoja na kufanya mambo ya maana kama kuwajengea wazazi na kusomesha ndugu. mia
 
ooh! ngoja nikienda huko USA alafu nione mambo yanavyo kwenda, then nitakuja kutoa jibu kwa yale nitayo shuhudia huko.
 
mafanikio yako popote...cha msingi ni kujituma na kutumia kila fursa inayopatikana.wale wa UK na USA..wanafanya kaz na wanalipwa kwa kazi zao...na hata bongo pia wanawake wana maendleo pia...ni kujituma ktk kazi...na kutumia kila nafas inayopatkana
 

Katika diaspora akina dada/wanawake "wana akili zaidi" kuliko wanaume.

wengi wao hukumbuka kusaidia nyumbani na kufanya mambo ya maendeleo.

Mara nyingi wanawake walioolewa na wanaume wa kitanzania diaspora hujitolea kutunza familia ili mwanaume ajiendeleze kielemu kwa manufaa ya kifamilia lakini cha kusikitisha wanaume hawa wakishakula nondoz wanaingia mitini!!!
 
kule maisha mteremko kwa sababu vile vizee ukivikubalia mnakula pension wote na hicho ndo kinawapa jeuri,ila hawana tija kwa taifa letu zaidi sana ni mafanikio binafsi ingawa sio wote wanaofanikiwa.
hahaha hapa unanikumbusha rafiki yangu peter anaye ishi na kibibi kizee cha kizungu jijini stockholm.
 
hahaha hapa unanikumbusha rafiki yangu peter anaye ishi na kibibi kizee cha kizungu jijini stockholm.

lakini na yeye ni diaspora bana..sema naona mjadala unawahusu sana wale wakike..
 
mi naamini popote maisha yanaenda lakini tukija kwa swala la kuishi nje ukitegemea upate maendeleo yakuja kutambia nyumbani inaitaji nguvu ya ziada na maombi.majuu maisha ni magumu kwani hela unaipata haraka kama unajishuhulisha na inaisha haraka sababu vitu vyakulipia ni vingi.ila kama unaakili utaikusanya na utarudi bongo kufanya la maana, la sivyo utarudi ukute mate wako uliowaacha wako mbali kimaisha nawewe huna lolote.

maana kuna watu nawafahamu wanaishi kwa wazungu huko wanafanya kazi masaa 80 kwa wiki lkn still wanaogopa kuja kuishi tz sababu tu wenzao wamesonga mbele na hawajui waanzie wapi wakija.kazi kuja holiday kugawa zawadi kwa ndugu na kurudi majuu bila maendeleo yoyote kwao wala kwa nchi yao:disapointed:.
kwa ujumla hakuna maendeleo yoyote kwa nchi ni maendeleo binafsi tu.
 
Advantage ya kuishi nje ni unaweza kuopoa ka babu kama Dr. Rutherford wa Natalia.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…