figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #141
ngoja kwanza.
hivi ni kwa nini tunaujadili mchango wa diaspora wa kike? ina maana mchango wa diaspora wa kiume unajulikana?
Sandeni kweli kuna mijumba iliyojengwa na wazee hasa enzi zile za kahawa,
pia kuna mijumba iliyojengwa na akina mama walioweza kufanya ujasiriamali hasa wale wauza ndizi
pia kuna mijumba hasa hii mipya mipya imejengwa na vijana lakini ukifuatilia wengi waliojenga ni wale ambao wapo hapa hapa tanzania na wanafanya kazi au biashara zao hapa nyumbani au kenya. hawa unaojitahidi kuwaelezea sijaona kwamba kwa mzee fulani imejengwa nyumba na kijana wake aliyeko nje ya nchi.
wengine wanatuma magari, wengine wanatuma zawadi mbalimbali kama pesa na kadhalika.
sijui Arushaone yuko wapi angenisaidia sana hapa.
ha haaaaa, huwezi kujua utamu wa ngoma mpaka uingie ucheze.........eti kwa sababu anaishi nje ya nchi. hahaaaa...!!. wanadhani wametungia ndani kumbe sisi ndo tumewafungia nje. mia
Exposure yao haisaidii ikiwa hawaiweki katika context ya nyumbani.vipi kuhusu ma diaspora wanaorudi nchini kwa lengo lakugombea nafasi mbalimbali za ubunge, udiwani n.k?
do u think hawa watakua na uwezo zaidi(due to the exprience they got outside) katika kuwatetea wananchi ambao ninaamini kwa kiasi kikubwa matatizo yao wanakuwa hawayajui..
mf. juma nkamia!
Exposure yao haisaidii ikiwa hawaiweki katika context ya nyumbani.
ha haaa, huyo ali-BORE, lol!ofcoz huwa inatokeag na inaudhi haswa. unafika kwa mtu kijijini anakuambia sikutegemea kama ungeweza kuja kunisalimia mtu kama mimi!. lakini huyu wa jeiefu alienishangaa nahisi alijisikia kuwa siko kwenye level ya kuwa busy lol. ngoja niache kabla hajakuja hapa tukalianzisha upya lol
Unajua kuna baadhi ya watu wanadharau sana eti wanajiita masikini jeuri. Ngoja nikupe mfano hai kuna siku moja nikiwa nimekaa nyumbani kwangu akapita muuza maembe mtani wangu mzaramo nikaita maembe yule bwana akasimama barabarani sasa nilikua na kitu nimeshikilia nikamwambia baba naomba usogee huku, unajua aliondoka huku akisema mimi masikini jeuri bwana. Basi nyuma yake kulikua na mwingine anakuja nae alipokaribia nikamuita mzee maembe akaja haraka haraka huku akiyasifia maembe yake. Basi yule baba alifanya biashara manake nilinunua mengi na aliendelea kuwa ananipitishia si unajua wachaga kwa biashara na unyenyekevu wao wawapo kazin. Yule baba alipata wateja wengi wakudumu ambao ni majirani zangu. Sasa ktkt hawa wawili alieprove wrong huu msemo wa masikini jeuri ni yule wa pili kwani masikini hupaswi kuwa jeuri bali unapaswa kua mnyenyekevu.na kweli ni dharau mbona tanzania waudumu wa afya tunazoa sana hayo mavi hamsemi,kwasababu yuko nje ya nchi akizoa mavi ndo si halali,kazi ni kazi ilimradi ukiuki maadili ya mwenyezi mungu
Unaposema what do they do for our country what do you mean. Je unamaanisha wanachangiaje budjet ya taifa au . Kwa mtazamo wangu wana mengi wanafanya kama vile tu wafanyavyo watanzania walioko hapa home. Kumbuka tuna vipato tafauti wengine hapa wako kama mengi na wengine sisi wauza maandazi sasa tunaliinua taifa letu kwa namna tofauti tofauti. Kuliinua kwangu Taifa namaanisha huyu mtanzania kama anaweza kuiinua familia yake kielimu na mengine basi huyo amechangia pato la taifa japo sio direct. Chukua mfano huo wa kusomesha analipa ada shule na shule inalipa kodi je huoni kuwa nae ana mchango hapo.mkuu Ablessed..nimeshindwa kukuquote moja kwa moja kwenye hiyo post yako hapo juu!
i hav few to ask..
apart from all things., what do they do for our country?
unakuwa nje basi ni haki yako kutokuwa mzalendo?
Najiuliza mtu unajiona superior sababu unaishi nje ya nchi au sababu unategemewa?
labda sijaelewa hapa u-superior unaozungumziwa ni kwa sababu gani kati ya hizo 2....
labda King'asti, Mamndenyi na Ablessed mnisaidie kwanza
mkuu Ablessed..nimeshindwa kukuquote moja kwa moja kwenye hiyo post yako hapo juu!
i hav few to ask..
apart from all things., what do they do for our country?
unakuwa nje basi ni haki yako kutokuwa mzalendo?
sijafanya ufukunyuku..btw, nilisema kuwa mkoa wa k'njaro unamaendeleo mazuri kuliko mkoa wa kagera in all aspects of life..afu nikasema familia nyingi za watu wakule wanandugu au watoto wao wanaoishi ulaya na marekani! je, do u think na wao wananafasi katika maendeleo yaliyopo huko?
well said my dear.....Hapana dear ni mtazamo tu kwani kujiona superior kama nilivyosema ni tabia ya mtu na si kwa sababu wanaishi nje sema waonyeshapo tabia hizo basi haraka sana sisi tunakimbilia kusema pengine ni kwa sababu wanaishi nje.
Ninawafahamu madada kadhaa wanaoishi huko kulikotajwa wameinua sana familia zao ikiwa ni pamoja na kurekebisha nyumba za familia. Tena ndugu zao walioko hapa bongo waliwaaachia mzigo wote wa familia hao wakaa ulaya. Guess what wale wadada walijipinda kwa ajili ya ukoo. Wakimaliza hili wanabebeshwa lile kumbe wenzao waliobaki hapa walikua wanajijenga balaa. Na hawa madada waliporurudi wakakuta ndugu zao kila mmoja mambo safi . Walipigwa na butwaaa maana kila mara walikua wanapigiwa cm dada kuna hili, dada mimi nimezaa mwenye mtoto kanikimbia na madai mengine mengi tu. Hivyo walisomesha ndugu zao wengi na wao wakawa kama mshumaa na mwisho wa siku hao ndugu zao wanawabeza aaah ulaya kitu gani bwana maisha hapahapa bongo. Wanasahau kama ndugu hawa walifanywa daraja la wao kutoka lol.
Wengine wakiwa ulaya wamesomesha ndugu zao wengi mno na hivyo wameweza kuinua maisha ya hao waliowapa msaada kwani kuna usemi usemao ukielimisha mwanamke 1 umeelimisha jamii. Usuperior kweli baadhi yao wanao lkn mimi nataka kuwa positive na kuona upande wao mzuri kwani hii tabia ya kujikweza ni ya wanawake wengi hatuwezi kuikwepa. Mtoa mada amezungumzia pia Je kuishi huko ndio sababu ya kujikweza no ni infiriority complex tuliyonayo baadhi yetu tuliobaki bongo. Mimi naomba nikaione ulaya siku moja hata kama ikibidi kuishia airport niende tu wala sijivungi nikipata mwaliko. Tena nawapongeza hao waliotoka naamini wakirudi bongo hawawezi kunidanganya ie wakisema tukutane saa sita naamini itakua saa sita sio kama baadhi ya wabongo mkipanga muda na muda ukifika simu zao zinakua busy au hazipatikani na kesho wanatoa sababu za uongo kwenye serious issue.
well said my dia, kwanza wanaonufaika huko ni wachache na hawana mbwembwe,
kuna wengine mmmh... ukiwaona hadi wanatia huruma waweza sema walifukuzwa nchini kwao.. But wakirudi home huwa wana pretend kama walikuwa na good life, kumbe hamna lolote!
Pengine mimi ubongo wangu unazeeka haraka hapa mpendwa sijakuelewa. What do you mean ,unauliza wameifanyia nini Tanzani kwa namna ipi. Mimi najua watz wanaoishi nje hawako tofauti na sis tunaoishi hapa bongo. Kuna wengine wako kama mengi hivyo wanauwezo mkubwa wakutoa msaada kitaifa na wengine wako kama mimi muuza mihogo ya kutafuna nao wanachangia pato la taifa kwa namna flani.mkuu Ablessed..nimeshindwa kukuquote moja kwa moja kwenye hiyo post yako hapo juu!
i hav few to ask..
apart from all things., what do they do for our country?
unakuwa nje basi ni haki yako kutokuwa mzalendo?
Nadhani mkuu kwenye mada hukusema kua waishio hapa bongo hawana mafanikio. Bali umegusia jinsi tu wanavyojifeel superior kama sikosei. Lbda niongezee hapo ulipozungumzia tofauti ya mafanikio kati ya aliyeko uk au usa na tz. Kwa mtazamo wangu mafanikio ni juhudi ya mtu binafsi haijalishi anaishi wapi. Hata hapa bongo kuna sisi tuliopigika na jua na kuna wengine wako safi tena wako juu sana. So na hao walio nje kuna waliotoka na wengine wanasaga lami. Huko hawakai sababu ya starehe bali waliowengi kwa mtazamo wangu wameenda kusaka manoti hivyo starehe ni moja ya mapumziko yao kwani hata hapa bongo mbona tunastarehe sana tu we huioni bilikanaz inavyojaza watu , huko kwenye mabeach watu wanajaa weekend hizi nazo si starehe. Unajua kuna msemo ambao huwa sipendi kuutumia lkn ngoja niutumie wanasema kunya anye kuku akinya bata............teseme kule wanakaa sababu ya starehe siyo kuwasaidia ndugu zao na jamii kwa ujumla? kuna haja ya madada zetu kuumiza kichwa ni vipi waende ulaya kwa hofu kwamba hapa bongo hamna mafanikio?. mia
teh teh tehhhhhh, tunalipa kodisuala la umeifanyia nini nchi yako is a bit tricky. kwani waliopo nchini wameifanyia nini nchi yao?
Ni kweli mkuu tujiulize mimi binafsi nimeifanyia nini nchi yangu. Hii inanikumbusha kutoa kwanza boriti kwenye jicho langu ndipo niweze kuona kibanzi kwenye jicho lako King'astisuala la umeifanyia nini nchi yako is a bit tricky. kwani waliopo nchini wameifanyia nini nchi yao?