Mchango wa diaspora wa kike katika jamii ya kitanzania...

Mchango wa diaspora wa kike katika jamii ya kitanzania...

ngoja kwanza.
hivi ni kwa nini tunaujadili mchango wa diaspora wa kike? ina maana mchango wa diaspora wa kiume unajulikana?

Tumeanza na wanawake kwanza. sababu mwanamke anamchango wake katika jamii yoyote ile so nimeamua kuwaongelea kwa kuthamini mchango wao katika jamii hata hivyo ladies first. mia
 
Sandeni kweli kuna mijumba iliyojengwa na wazee hasa enzi zile za kahawa,
pia kuna mijumba iliyojengwa na akina mama walioweza kufanya ujasiriamali hasa wale wauza ndizi
pia kuna mijumba hasa hii mipya mipya imejengwa na vijana lakini ukifuatilia wengi waliojenga ni wale ambao wapo hapa hapa tanzania na wanafanya kazi au biashara zao hapa nyumbani au kenya. hawa unaojitahidi kuwaelezea sijaona kwamba kwa mzee fulani imejengwa nyumba na kijana wake aliyeko nje ya nchi.

wengine wanatuma magari, wengine wanatuma zawadi mbalimbali kama pesa na kadhalika.

sijui Arushaone yuko wapi angenisaidia sana hapa.

Na yeye atakuwa analijumba lake kule? Arushaone..
 
Last edited by a moderator:
vipi kuhusu ma diaspora wanaorudi nchini kwa lengo lakugombea nafasi mbalimbali za ubunge, udiwani n.k?
do u think hawa watakua na uwezo zaidi(due to the exprience they got outside) katika kuwatetea wananchi ambao ninaamini kwa kiasi kikubwa matatizo yao wanakuwa hawayajui..
mf. juma nkamia!
Exposure yao haisaidii ikiwa hawaiweki katika context ya nyumbani.
 
ofcoz huwa inatokeag na inaudhi haswa. unafika kwa mtu kijijini anakuambia sikutegemea kama ungeweza kuja kunisalimia mtu kama mimi!. lakini huyu wa jeiefu alienishangaa nahisi alijisikia kuwa siko kwenye level ya kuwa busy lol. ngoja niache kabla hajakuja hapa tukalianzisha upya lol
ha haaa, huyo ali-BORE, lol!
 
na kweli ni dharau mbona tanzania waudumu wa afya tunazoa sana hayo mavi hamsemi,kwasababu yuko nje ya nchi akizoa mavi ndo si halali,kazi ni kazi ilimradi ukiuki maadili ya mwenyezi mungu
Unajua kuna baadhi ya watu wanadharau sana eti wanajiita masikini jeuri. Ngoja nikupe mfano hai kuna siku moja nikiwa nimekaa nyumbani kwangu akapita muuza maembe mtani wangu mzaramo nikaita maembe yule bwana akasimama barabarani sasa nilikua na kitu nimeshikilia nikamwambia baba naomba usogee huku, unajua aliondoka huku akisema mimi masikini jeuri bwana. Basi nyuma yake kulikua na mwingine anakuja nae alipokaribia nikamuita mzee maembe akaja haraka haraka huku akiyasifia maembe yake. Basi yule baba alifanya biashara manake nilinunua mengi na aliendelea kuwa ananipitishia si unajua wachaga kwa biashara na unyenyekevu wao wawapo kazin. Yule baba alipata wateja wengi wakudumu ambao ni majirani zangu. Sasa ktkt hawa wawili alieprove wrong huu msemo wa masikini jeuri ni yule wa pili kwani masikini hupaswi kuwa jeuri bali unapaswa kua mnyenyekevu.

Kuhusu kazi hata hapa bongo kuna wanaoosha vyombo mahotelini , waosha magari, wabeba zege , wachoma maandazi na mahousegirl bila kukosa kuwataja mahouse boy n.k. Hivi wote tukienda fanya kazi BOT na kwingineko nani atafanya hizi zingine. Je ni nani atakaefagia barabara. n.k. Tuache dharau wapendwa aliekuinua wewe ndie anaesubiriwa kumuinua na huyo mzoa mavi. Hata humu ukiangalia baadhi ya michango kunamasuperior pia.
 
mkuu Ablessed..nimeshindwa kukuquote moja kwa moja kwenye hiyo post yako hapo juu!
i hav few to ask..
apart from all things., what do they do for our country?
unakuwa nje basi ni haki yako kutokuwa mzalendo?
 
Last edited by a moderator:
mkuu Ablessed..nimeshindwa kukuquote moja kwa moja kwenye hiyo post yako hapo juu!
i hav few to ask..
apart from all things., what do they do for our country?
unakuwa nje basi ni haki yako kutokuwa mzalendo?
Unaposema what do they do for our country what do you mean. Je unamaanisha wanachangiaje budjet ya taifa au . Kwa mtazamo wangu wana mengi wanafanya kama vile tu wafanyavyo watanzania walioko hapa home. Kumbuka tuna vipato tafauti wengine hapa wako kama mengi na wengine sisi wauza maandazi sasa tunaliinua taifa letu kwa namna tofauti tofauti. Kuliinua kwangu Taifa namaanisha huyu mtanzania kama anaweza kuiinua familia yake kielimu na mengine basi huyo amechangia pato la taifa japo sio direct. Chukua mfano huo wa kusomesha analipa ada shule na shule inalipa kodi je huoni kuwa nae ana mchango hapo.

Pengine rafiki unisaidie uzalendo kwa namna ipi eti. Ninao wengi ninaowafahamu wanauzalendo mmno sema wanasiasa huwarudisha nyuma . Kuna mtu mmoja alinambia kuwa kuna kipindi alitaka kutuletea vitanda vya kulalia wagonjwa akanipa mtiririko wa mambo aliyoambiwa kufanya na mwisho wakamblock/ hakupewa ushirikiano msaada ule ukapelekwa ethiopia. Wengi wanavunjwa moyo sema kwa bahati mbaya tuna one side story ndio maana tunakosa kufahamu ni mangapi wanayokumbana nayo mpaka wanashindwa kuuonyesha huo uzalendo tunaufikiria. Pia tukumbuke kua nao wana majukumu yao na wanahenyeka sawa tu na sisi tulio hapa home. Pengine tumeweka matumaini makubwa sana kwao kuliko uhalisia wenyewe.
 
Najiuliza mtu unajiona superior sababu unaishi nje ya nchi au sababu unategemewa?
labda sijaelewa hapa u-superior unaozungumziwa ni kwa sababu gani kati ya hizo 2....
labda King'asti, Mamndenyi na Ablessed mnisaidie kwanza

Hapana dear ni mtazamo tu kwani kujiona superior kama nilivyosema ni tabia ya mtu na si kwa sababu wanaishi nje sema waonyeshapo tabia hizo basi haraka sana sisi tunakimbilia kusema pengine ni kwa sababu wanaishi nje.

Ninawafahamu madada kadhaa wanaoishi huko kulikotajwa wameinua sana familia zao ikiwa ni pamoja na kurekebisha nyumba za familia. Tena ndugu zao walioko hapa bongo waliwaaachia mzigo wote wa familia hao wakaa ulaya. Guess what wale wadada walijipinda kwa ajili ya ukoo. Wakimaliza hili wanabebeshwa lile kumbe wenzao waliobaki hapa walikua wanajijenga balaa. Na hawa madada waliporurudi wakakuta ndugu zao kila mmoja mambo safi . Walipigwa na butwaaa maana kila mara walikua wanapigiwa cm dada kuna hili, dada mimi nimezaa mwenye mtoto kanikimbia na madai mengine mengi tu. Hivyo walisomesha ndugu zao wengi na wao wakawa kama mshumaa na mwisho wa siku hao ndugu zao wanawabeza aaah ulaya kitu gani bwana maisha hapahapa bongo. Wanasahau kama ndugu hawa walifanywa daraja la wao kutoka lol.

Wengine wakiwa ulaya wamesomesha ndugu zao wengi mno na hivyo wameweza kuinua maisha ya hao waliowapa msaada kwani kuna usemi usemao ukielimisha mwanamke 1 umeelimisha jamii. Usuperior kweli baadhi yao wanao lkn mimi nataka kuwa positive na kuona upande wao mzuri kwani hii tabia ya kujikweza ni ya wanawake wengi hatuwezi kuikwepa. Mtoa mada amezungumzia pia Je kuishi huko ndio sababu ya kujikweza no ni infiriority complex tuliyonayo baadhi yetu tuliobaki bongo. Mimi naomba nikaione ulaya siku moja hata kama ikibidi kuishia airport niende tu wala sijivungi nikipata mwaliko. Tena nawapongeza hao waliotoka naamini wakirudi bongo hawawezi kunidanganya ie wakisema tukutane saa sita naamini itakua saa sita sio kama baadhi ya wabongo mkipanga muda na muda ukifika simu zao zinakua busy au hazipatikani na kesho wanatoa sababu za uongo kwenye serious issue.
 
suala la umeifanyia nini nchi yako is a bit tricky. kwani waliopo nchini wameifanyia nini nchi yao?
mkuu Ablessed..nimeshindwa kukuquote moja kwa moja kwenye hiyo post yako hapo juu!
i hav few to ask..
apart from all things., what do they do for our country?
unakuwa nje basi ni haki yako kutokuwa mzalendo?
 
sijafanya ufukunyuku..btw, nilisema kuwa mkoa wa k'njaro unamaendeleo mazuri kuliko mkoa wa kagera in all aspects of life..afu nikasema familia nyingi za watu wakule wanandugu au watoto wao wanaoishi ulaya na marekani! je, do u think na wao wananafasi katika maendeleo yaliyopo huko?

akhaaaa!!usinitaftie talaka
mie kwa kulisema kabila la huby wangu!!
mi thijui kabithaaa!!
 
Hapana dear ni mtazamo tu kwani kujiona superior kama nilivyosema ni tabia ya mtu na si kwa sababu wanaishi nje sema waonyeshapo tabia hizo basi haraka sana sisi tunakimbilia kusema pengine ni kwa sababu wanaishi nje.

Ninawafahamu madada kadhaa wanaoishi huko kulikotajwa wameinua sana familia zao ikiwa ni pamoja na kurekebisha nyumba za familia. Tena ndugu zao walioko hapa bongo waliwaaachia mzigo wote wa familia hao wakaa ulaya. Guess what wale wadada walijipinda kwa ajili ya ukoo. Wakimaliza hili wanabebeshwa lile kumbe wenzao waliobaki hapa walikua wanajijenga balaa. Na hawa madada waliporurudi wakakuta ndugu zao kila mmoja mambo safi . Walipigwa na butwaaa maana kila mara walikua wanapigiwa cm dada kuna hili, dada mimi nimezaa mwenye mtoto kanikimbia na madai mengine mengi tu. Hivyo walisomesha ndugu zao wengi na wao wakawa kama mshumaa na mwisho wa siku hao ndugu zao wanawabeza aaah ulaya kitu gani bwana maisha hapahapa bongo. Wanasahau kama ndugu hawa walifanywa daraja la wao kutoka lol.

Wengine wakiwa ulaya wamesomesha ndugu zao wengi mno na hivyo wameweza kuinua maisha ya hao waliowapa msaada kwani kuna usemi usemao ukielimisha mwanamke 1 umeelimisha jamii. Usuperior kweli baadhi yao wanao lkn mimi nataka kuwa positive na kuona upande wao mzuri kwani hii tabia ya kujikweza ni ya wanawake wengi hatuwezi kuikwepa. Mtoa mada amezungumzia pia Je kuishi huko ndio sababu ya kujikweza no ni infiriority complex tuliyonayo baadhi yetu tuliobaki bongo. Mimi naomba nikaione ulaya siku moja hata kama ikibidi kuishia airport niende tu wala sijivungi nikipata mwaliko. Tena nawapongeza hao waliotoka naamini wakirudi bongo hawawezi kunidanganya ie wakisema tukutane saa sita naamini itakua saa sita sio kama baadhi ya wabongo mkipanga muda na muda ukifika simu zao zinakua busy au hazipatikani na kesho wanatoa sababu za uongo kwenye serious issue.
well said my dear.....
jamani mlioko huko nje hakuna wa kunitoa mimi?
cc. snowhite mdogo wangu wewe haupo nje univute na dadako?
 
Last edited by a moderator:
well said my dia, kwanza wanaonufaika huko ni wachache na hawana mbwembwe,
kuna wengine mmmh... ukiwaona hadi wanatia huruma waweza sema walifukuzwa nchini kwao.. But wakirudi home huwa wana pretend kama walikuwa na good life, kumbe hamna lolote!

wanageuzwa watumwa wa ngono
hawana lolote!shosti niliambiwa
uko kwa server umempokea Baba V?!!!
 
Last edited by a moderator:
mkuu Ablessed..nimeshindwa kukuquote moja kwa moja kwenye hiyo post yako hapo juu!
i hav few to ask..
apart from all things., what do they do for our country?
unakuwa nje basi ni haki yako kutokuwa mzalendo?
Pengine mimi ubongo wangu unazeeka haraka hapa mpendwa sijakuelewa. What do you mean ,unauliza wameifanyia nini Tanzani kwa namna ipi. Mimi najua watz wanaoishi nje hawako tofauti na sis tunaoishi hapa bongo. Kuna wengine wako kama mengi hivyo wanauwezo mkubwa wakutoa msaada kitaifa na wengine wako kama mimi muuza mihogo ya kutafuna nao wanachangia pato la taifa kwa namna flani.

Mimi naona tuna highest expectations juu ya hao watz kitu ambacho tunakosea. Kwa mtazamo wangu hao waishi nje wanaposaidia familia zao bado watakua wamelisogeza Taifa letu hata kwa hatua chache. Wanaposomesha binti mmoja wanakua wametusaidia kupunguza msongamano kwenye hizi ajira zetu sisi tuliokimbia umande. Na wanaposomesha kijana mmoja pia mwanakua wamepumguza vibaka ktk jamii. Hivyo kwa jinsi hiyo wanakua wameiinua Tanzania.

Unaposema kua ;unapokua nje je ni haki yako kutokua mzalendo ? Hapa napo sijaelewa ngoja nigesi. Uzalendo kwa namna ipi. Jee waje wakatukamatie majambazi au walinde tembo wetu au kwa namna ipi mkuu. Kwa nijuavyo mimi watu hao wanauzalendo sema kinachotusumbua wao tumewaweka juu sana kuliko uwezo wao tunatarajia wafanye makubwa bila kujua kua na wao wanamajukumu yao. Nahisi ni inferiority complex nayo inatusumbua. Je waje watusimamie makazini tusiingie FB saa za kazi na tufanye kazi au kwa lipi mkuu. Je huyu mtanzania tuliempa jukumu la kutulinda je nae kweli ni mzalendo ambae hata tukimuona maeneo tunayoishi tunaingiwa na hofu.
 
teseme kule wanakaa sababu ya starehe siyo kuwasaidia ndugu zao na jamii kwa ujumla? kuna haja ya madada zetu kuumiza kichwa ni vipi waende ulaya kwa hofu kwamba hapa bongo hamna mafanikio?. mia
Nadhani mkuu kwenye mada hukusema kua waishio hapa bongo hawana mafanikio. Bali umegusia jinsi tu wanavyojifeel superior kama sikosei. Lbda niongezee hapo ulipozungumzia tofauti ya mafanikio kati ya aliyeko uk au usa na tz. Kwa mtazamo wangu mafanikio ni juhudi ya mtu binafsi haijalishi anaishi wapi. Hata hapa bongo kuna sisi tuliopigika na jua na kuna wengine wako safi tena wako juu sana. So na hao walio nje kuna waliotoka na wengine wanasaga lami. Huko hawakai sababu ya starehe bali waliowengi kwa mtazamo wangu wameenda kusaka manoti hivyo starehe ni moja ya mapumziko yao kwani hata hapa bongo mbona tunastarehe sana tu we huioni bilikanaz inavyojaza watu , huko kwenye mabeach watu wanajaa weekend hizi nazo si starehe. Unajua kuna msemo ambao huwa sipendi kuutumia lkn ngoja niutumie wanasema kunya anye kuku akinya bata............
 
suala la umeifanyia nini nchi yako is a bit tricky. kwani waliopo nchini wameifanyia nini nchi yao?
Ni kweli mkuu tujiulize mimi binafsi nimeifanyia nini nchi yangu. Hii inanikumbusha kutoa kwanza boriti kwenye jicho langu ndipo niweze kuona kibanzi kwenye jicho lako King'asti
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom