Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa..greetings from Mwali. Mia
Remember me to her as well.
Ok..bt statement yako inautata!!
Kama mmefikia kupangia budget hela ya wabeba box walioko nje ya nchi basi Tz iko pabaya sana. Sioni uwiano wa watu walioenda nje kwa juhudi zao leo wabebeshwe mzigo wa kusaidia taifa zima.
Wapi penye utata?
yote tu..
remember me to somebody
(especially British English) used to ask somebody to give your good wishes to somebody else
*Remember me to your parents.
Source
Bado unatatizika?
Wadau nawaalika katika mjadala, washiriki wakuu naomba wawe Smile, Mayasa Heaven on earth, Natalia na Mrembo by Nature! Bila kujaliwanapoishi..nadhani kila mtuanajua juu ya kufanikiwa kwawadada wakitz wanaoishi nje ya nchi hususani wale wa u.k na u.s.a!Hebu tucheki nini kikubwa, kuishi nje (U.S and U.K)tu! ni kufanikiwa? Kuna sababu yoyote yakufil superior just because mtu yupo nje? na hapigwi na vumbi la bongo? haya ni machache yatakayojadiliwa katika mjadala huu pia mifano hai inaweza kutumika.mia
Rafiki hii ni tabia ya wanawake wengi hasa anapokua nacho labda ndivyo tulivyoumbwa . Nakubali unyenyekevu ndio jibu la mambo yote lkn hatuwezi kuepuka hili. Tuwapende tu na tuchukuliane nao. Tena hata kwenye makusanyiko ya kiroho bado type hizi za wadada utakutana nazo.Mie kwa kweli sifagilii kabisa kitendo cha binadamu yeyote kujiona yupo above the rest. Acha wanawake. Ila culprits wa tabia hii mbaya ni wanawake. Na hutokana na inferior egos na kukosa kumuamini Mungu. Haiwezekani from nowhere ujione you are a notch above the rest. Yaani sipendi hii tabia kabisa. Kama unamjua Mungu utajua kiukweli we are all equal before the Good Lord.
Wanasema maisha ni popote kama wewe ni mpambanaji na hutachagua aina ya kazi. Kwa ulaya na nchi zingine za mbele wanasema ni rahisi zaidi kwani hela yao ina thamani so ukijilipua na mabox sana na kazi zingine kama kuchambisha vizee unatoka mapemaaaaaa.
Tukirudi kwangu, hakuna maisha mimi napenda kama kuishi sehemu ambayo mtu yuko secured from atleast all sources of threats.....walioko mbele wanajivunia sana hili, kwmba vibaka wa ovyo ovyo ni almost hakuna, huwezi panda kwenye usafiri wa umma ukatukanwa from no where kama ilivyo tanzania, services like maji, umeme na mengineyo vipo viko available 24/7 unlike tz ambako hata maji ni ishu, ile ya watu atleast kuheshimiana na si kuvunjiana heshima from nowhere, rushwa ndogo ndogo hazip[o kwa sana kama ilivyo tz......n.k n.k Haya ni baadhi ya mambo yanayoweza kumfanya mtu aanayeishi nje kiasi ajione yeye yuko sehemu nzuri kuliko sie tulioko kwa mrombooo ambapo polisi muda wowote hata anaweza kukushut wakati unakula tundi na mpenzio kwenye gari figganigga
maendeleo ni juhudi binafsi za mtu
kukaa nje haimaanishi kwamba ndio mtu ana
maendeleo,unaweza kaa nje na bado ukawa
choka mbaya tu kuliko hata waliopo tz,so juhudi na malengo
ndio siri ya mafanikio,na si kuishi nje!!! figganigga umenisoma!!mia
well said my dia, kwanza wanaonufaika huko ni wachache na hawana mbwembwe,
kuna wengine mmmh... ukiwaona hadi wanatia huruma waweza sema walifukuzwa nchini kwao.. But wakirudi home huwa wana pretend kama walikuwa na good life, kumbe hamna lolote!
Msishangae kwanini walioko nchi za ulaya na kwingineko wanashindwa kuwasaidia ndugu zao?
Jamani wengine wanapokuwa huko wanapata hela ya kula tu ilimradi siku isogee wakirudi makwao mbwembwe nyingii..
Walioko ulaya kufanya mwembwe wakija nyumbani haina tafauti na mbwembwe za wachaga wakienda Mamndenyi wakati wa sikukuu. Hata walioko daslaamu nao wanashindwa kusaidia ndugu zao. Weeh huwezi kuzaa watoto tisa ukitegemea tukulipie ada zao afu tushindwe kupanga nyumba zenye ac lol. Mtu amejinyima mwaka mzima, akanunua na viwalo vya holiday. Na hata akicheck in sea cliff for breakfast, yuko holiday na sio mikogo.
Wakati mwingine watu wanajinyanyapaa. Mtu amechoka anataka kukaa mahali apumzike ukimchangamkia anakupa cold shoulder ili tu usivute kiti. Manake waswahili na sie, unakuta mtu anaibia kukaa na ex wake wapeane updates wewe unajikaribisha.
Kama mmefikia kupangia budget hela ya wabeba box walioko nje ya nchi basi Tz iko pabaya sana. Sioni uwiano wa watu walioenda nje kwa juhudi zao leo wabebeshwe mzigo wa kusaidia taifa zima.