Ndio ujue kuwa,KInachoshangaza Mjomba akiumwa hachangiwi hata laki moja ya matibabu hadi anakufa
Mwanadamu hakuumbiwa shida, haya magonjwa na vifo yameletwa Kwa kutotii Kwa wazazi wetu Adam na EVE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ujue kuwa,KInachoshangaza Mjomba akiumwa hachangiwi hata laki moja ya matibabu hadi anakufa
Tatizo ni unashurutishwa utoe pledge, yaani kama vile dalali wa kuuza nguo anavyofanya kukulazimisha ununue mpaka unaingia line.Ukiahidi ujue tayari ni deni. Kama hutaki kudaiwa usiahidi, ukiahidi na usipotoa huo ni utoto. Hekima na busara ni kutokuahidi.
Na hii ndo sababu kubwa kwanini huwa sichangi. Mtu hamjawasiliana kwa miaka hata zaidi ya 6 anaibuka leo kuomba mchango, hiyo maana yako anataka kukutumia tu kama chombo na shida yake ikiisha anapotea.Wale huwa desperate na suala lao tu. Wakishafanikisha huwaoni tena
On point mkuu, akishapata kampani na mchango mnarudi kwenye hali ile ile iliyokuwepo mwanzoNa hii ndo sababu kubwa kwanini huwa sichangi. Mtu hamjawasiliana kwa miaka hata zaidi ya 6 anaibuka leo kuomba mchango, hiyo maana yako anataka kukutumia tu kama chombo na shida yake ikiisha anapotea.
Ongea na moyo wako. Achana na kuwaza watu watakuonaje, kama hujisikii kuchangia hiyo sherehe, tumepewa brain tuitimie, jifanye una tatizo kubwa limekukabili na linahitaji fedha nyingi na ndo unazichanga changa hadi ulimalize, kwahiyo huwezi kuahidi kwa sasa mpaka baadae, wapige chenga chenga mpaka likupite.Tatizo ni unashurutishwa utoe pledge, yaani kama vile dalali wa kuuza nguo anavyofanya kukulazimisha ununue mpaka unaingia line.
Unyama mimi nafanyaga mda mwingine, nakubali kuchanga kupunguza maneno mengi halafu ananiweka kwenye group na mimi napiga kimya mwanzo mwisho mpaka harusi inakuja kufanyika.
Sasa nakuwa najiuliza, mbona mimi sijachanga na harusi ameweza kufanya vizuri tu, kumbe nikaja kugundua mchango wangu haukua wa umuhimu