Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Wazungu waje kutalii si kuwadanya eti utaenda peponi.Sasa kama ni utalii tatizo lipo wapi? Mbona wazungu hawaambiani wasije afrika kutalii kutakuza uchumi wa afrika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu waje kutalii si kuwadanya eti utaenda peponi.Sasa kama ni utalii tatizo lipo wapi? Mbona wazungu hawaambiani wasije afrika kutalii kutakuza uchumi wa afrika?
Mashaallah Holyland.WaIslam wa dunia yote/ nzima wanakuza uchumi wa Saudiarabia
Hapana, kwani wapi palipoelezwa kwamba njia ya kwenda mbinguni ni kwa kwenda kuhiji tu?Kwahiyo Mungu ni mbaguzi.
Unaposema mwenye uwezo tu,maana yake asiye na uwezo chance ya kwenda mbinguni ni zero.
Ndio maana nikakwambia unachanganya masuala ya imani na utalii, watu wanaenda kuhiji huko Macca kwa sababu za kiimani sasa kama ni uongo hayo ni masuala ya kiimani.Wazungu waje kutalii si kuwadanya eti utaenda peponi.
Hijja sio utalii wewe kafiri Acha ubishiWewe Pimbi hizi dini zilizoletwa na majahazi zimefubaza akili yako.Hijja ni utalii kama utalii usiwe mjinga na mpuuzi.Wacha kukuza uchumi wa waarabu.
Wafia dini ni watu wa taifa gani?Sasa unaongea mambo ya maana,usiwe mjinga kama wafia dini
Kilaza mkubwa wee, kumbe unauliza wakati heading yako inaonyesha unataka kutoa data!Tofauti na nchi nyingi Kusini Kwa jangwa la Sahara zinazotegemea ufadhili na Tozo. Nchi ya Saudi Arabia Ina vyanzo vingi vya mapato ikiwemo HIJJA kila mwaka. Nani anaweza kutuwekea data za mchango wa HIJJA kila mwaka kwenye lato la Taifa hili kubwa duniani?
Wa ovyo wa kwanza ni wewe, kwani kwenda Washington ndiyo peponi?Miafrika ni mijitu ya hovyo sana.Eti inaamini ukienda Washington au Nanjilinji huendi peponi!.
hijja ilikuwepo kabla ya mafutaHaaaaa yaani mafuta yakikatika fedha za Hijja zitaendelea kumiminika.Watu wana akili sana.
Hiyo ndiyo faida ya ukoloni wa kimila. Badala ya watu waende kuhiji kwenye makaburi ya mababu zao, wanakwenda kwenye makaburi ya waarabu na waisrael yaani watumwa wao wa kimila!Tofauti na nchi nyingi Kusini Kwa jangwa la Sahara zinazotegemea ufadhili na Tozo. Nchi ya Saudi Arabia Ina vyanzo vingi vya mapato ikiwemo HIJJA kila mwaka. Nani anaweza kutuwekea data za mchango wa HIJJA kila mwaka kwenye lato la Taifa hili kubwa duniani?
Hivi hii source #1 na source #2 inamaana gani ?inakera sana kila uzi unaiweka pumbavuTofauti na nchi nyingi Kusini Kwa jangwa la Sahara zinazotegemea ufadhili na Tozo. Nchi ya Saudi Arabia Ina vyanzo vingi vya mapato ikiwemo HIJJA kila mwaka. Nani anaweza kutuwekea data za mchango wa HIJJA kila mwaka kwenye lato la Taifa hili kubwa duniani?
Acha jaziba na jiulize kwanini hija isiwe Serengeti au Rubondo na iwe mecca au madina?Afrika yoooote hatuna eneo takatifu kweli?basi tumelaaniwa!We mse............ hija sio utalii ni ibada
Nitajie mtume Mwafrika,je kwanini kusiwe na mtume Mhondi,mchina,mjapani,n.k?Aliyeanzisha ni Ibrahimu au Abrahamu,uliza vimepita vizazi vingapi mpaka uje upinge wewe unayeishi miaka 60? Mitume yote Daudi,Musa Yesu huo utaratibu wameukuta
Juma1967 unakufuru unataka wavaa kubadhi wenzako wasiende Hijja.
Nami niongeze swali hapohapo na hilo pato linarudi vipi kwa waislamu kama thanks giving
Aliyeanzisha ni Ibrahimu au Abrahamu,uliza vimepita vizazi vingapi mpaka uje upinge wewe unayeishi miaka 60? Mitume yote Daudi,Musa Yesu huo utaratibu wameukuta
acha uongo unaijua trilion usd wewe? pato la saudia ni Bilioni 883 usd sembuse Hija?Trillions of usd WaIslam wa dunia yote/ nzima wanakuza uchumi wa Saudiarabia.
Badala ya WaIslam wa Tanganyika,Kenya,Rwanda ....... kwenda kufurahia maisha Serengeti au Rubondo yanakwenda kichwa kichwa Macca kukuza uchumi wa waarabu.
Miafrika ni mijitu ya hovyo sana.Eti inaamini ukienda Washington au Nanjilinji huendi peponi!.
Hawajui wajanja walichomeka hicho kipengele cha kuhiji kwasababu za kiuchumi na si vinginevyo.
Tofauti na nchi nyingi Kusini Kwa jangwa la Sahara zinazotegemea ufadhili na Tozo. Nchi ya Saudi Arabia Ina vyanzo vingi vya mapato ikiwemo HIJJA kila mwaka. Nani anaweza kutuwekea data za mchango wa HIJJA kila mwaka kwenye lato la Taifa hili kubwa duniani?
si kweli, Hijja ipo kabla ya mtume, alichofanya Mtume ni kutoa tu masanamu na kuiacha iwe sehemu ya Kuabudu mungu, vyema usome historia kabla ya kupotosha mkuu.Utaratibu wa Hijja. Na hata dini zima ya kiislamu umekuja miaka 600 after crist.
Musa, abraham, daudi walikuja before crist.
Thibitisha kama enzi za Musa, daudi na Abraham kwamba watu waislamu walikuwa wanaenda ku hijj mecca na madina
Mtume muhammad ndie alieanzisha uislamu , na mtume muhammad amezaliwa miaka mingii mbele ya kina musa, daudi na abraham