Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Al kaaba iko tangu enzi ya aadam amani iwe juu yake, na ibraahiym amani iwe juu yake aliimarisha tu jengo lake.Je waliokuwa wanahiji hayo masanamu ya Kaaba walikuwa waislamu ama imani zingine ?
Kwani uislamu na quran alipewa nani kama sio mtume Muhammad, useme kabla ya Muhammad waislamu walikuwepo wanaenda hadi Kuhiji kwenye Kaaba