baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
mapato ya Hija ni usd 30B sawa na asilimia 3.6 ya Pato la SaudiaTofauti na nchi nyingi Kusini Kwa jangwa la Sahara zinazotegemea ufadhili na Tozo. Nchi ya Saudi Arabia Ina vyanzo vingi vya mapato ikiwemo HIJJA kila mwaka. Nani anaweza kutuwekea data za mchango wa HIJJA kila mwaka kwenye lato la Taifa hili kubwa duniani?