baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
mapato ya Hija ni usd 30B sawa na asilimia 3.6 ya Pato la SaudiaTofauti na nchi nyingi Kusini Kwa jangwa la Sahara zinazotegemea ufadhili na Tozo. Nchi ya Saudi Arabia Ina vyanzo vingi vya mapato ikiwemo HIJJA kila mwaka. Nani anaweza kutuwekea data za mchango wa HIJJA kila mwaka kwenye lato la Taifa hili kubwa duniani?
Sio wafrika pekee hudhuru huko mekkaTrillions of usd WaIslam wa dunia yote/ nzima wanakuza uchumi wa Saudiarabia.
Badala ya WaIslam wa Tanganyika,Kenya,Rwanda ....... kwenda kufurahia maisha Serengeti au Rubondo yanakwenda kichwa kichwa Macca kukuza uchumi wa waarabu.
Miafrika ni mijitu ya hovyo sana.Eti inaamini ukienda Washington au Nanjilinji huendi peponi!.
Hawajui wajanja walichomeka hicho kipengele cha kuhiji kwasababu za kiuchumi na si vinginevyo.
si kweli, Hijja ipo kabla ya mtume, alichofanya Mtume ni kutoa tu masanamu na kuiacha iwe sehemu ya Kuabudu mungu, vyema usome historia kabla ya kupotosha mkuu.
AllahMungu yupi?
Wakristo Wanaoenda Israel ni kwa ajili ya utalii tu hakuna cha maana wanachopata wakikanyaga IsraelWa ovyo wa kwanza ni wewe, kwani kwenda Washington ndiyo peponi?
Na kwa nini nyinyi wakristo munakwenda hijja Jerusalem kufanya nini kama siyo kuiga waislamu?
Siyo kweli ndugu yangu labda hauna hiyo Elimu ya hijja,kwa kukusaidia ingia kwenye Google uliza historia ya hijja na muanzilishi wakeUtaratibu wa Hijja. Na hata dini zima ya kiislamu umekuja miaka 600 after crist.
Musa, abraham, daudi walikuja before crist.
Thibitisha kama enzi za Musa, daudi na Abraham kwamba watu waislamu walikuwa wanaenda ku hijj mecca na madina
Mtume muhammad ndie alieanzisha uislamu , na mtume muhammad amezaliwa miaka mingii mbele ya kina musa, daudi na abraham
Kwa hiyo mkuu unamaanisha kwamba shetani yupo Makkah ndo wanapoenda kurusha mawe kwann wasiende kurusha Ujiji KigomaSaudia wajanja Sana wanajipatia tozo kiulaiiiini kwa watu wanaokwenda kumponda shetani asiyeonekana kwa mawe
kuna hekma ya kila kitu, nitakupa Mfano, MAlCOM X ni zao la Hija, baada ya kwenda Hajj na kuona watu mbalimbali wa rangi tofauti wakiacha mali zao na tabia zao na kujishusha mbele ya mwenyez mungu akawa mwana harakati mzuri tu duniani,Yaani wewe unaamini Mungu yuko Macca tu si Kibiti au Mchambawima.
Wa ujiji ni mjanja ana uwezo wa kukwepa maweKwa hiyo mkuu unamaanisha kwamba shetani yupo Makkah ndo wanapoenda kurusha mawe kwann wasiende kurusha Ujiji Kigoma
Ila huko Macca hawaendi waafrika tu, kuna wahindi wazungu wachina.Hiyo ndiyo faida ya ukoloni wa kimila. Badala ya watu waende kuhiji kwenye makaburi ya mababu zao, wanakwenda kwenye makaburi ya waarabu na waisrael yaani watumwa wao wa kimila!
Siyo kweli ndugu yangu labda hauna hiyo Elimu ya hijja,kwa kukusaidia ingia kwenye Google uliza historia ya hijja na muanzilishi wake
Ndio wajanja ndio maana wenzetu wana mafuta na yanawatajirisha ila sie tuna maliasili nyingi ila masikini, si ajabu hata hiyo hijja ingekuwa bongo basi tusingeweza kutumia vizuri fursa hiyo na kupata manufaa kwa taifa.Saudia wajanja Sana wanajipatia tozo kiulaiiiini kwa watu wanaokwenda kumponda shetani asiyeonekana kwa mawe
Kuna aliekujibu hili?Sasa kama ni utalii tatizo lipo wapi? Mbona wazungu hawaambiani wasije afrika kutalii kutakuza uchumi wa afrika?
kutoka kwenye link yakoHajj ya kuhiji mecca na madina ilianzishwa na mtume Muhammad.
kutoka kwenye link yako
View attachment 2456265
kwamba hujui kusoma ama? soma picha hio ina majibu yote unayobisha, ama unaweza ukaamua kuendeleza ligiLink yangu Imeandika nini , kwamba Hajj waislamu walikuwa wanakwenda kuhiji mecca kabla ya madina??
kwamba hujui kusoma ama? soma picha hio ina majibu yote unayobisha, ama unaweza ukaamua kuendeleza ligi
mkuu juu hapo pameandikwa Ibrahim na Mwanae Ismail wakaijenga Kaaba, kisha Mwenyez Mungu akamwambia Ibrahim akaitangaze Hijja kwa Wanadamu,Mbona hoja unakimbia kuijibu.
Nimeona neno pre islamic arabia . Ambavyo kwa kiswahili maana yake ni arabia kabla ya uislamu
Arabia kabla ya uislamu makabila ya wapagani walikuwa wanasali kaaba.
Je wapagani ni waislamu?
Na je neno pre islamic arabia maana yake sio arabia kabla ya uislamu??