Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Al kaaba iko tangu enzi ya aadam amani iwe juu yake, na ibraahiym amani iwe juu yake aliimarisha tu jengo lake.Je waliokuwa wanahiji hayo masanamu ya Kaaba walikuwa waislamu ama imani zingine ?
Kwani uislamu na quran alipewa nani kama sio mtume Muhammad, useme kabla ya Muhammad waislamu walikuwepo wanaenda hadi Kuhiji kwenye Kaaba
Mkuu samahani hivi baba yake nabii Muhammad alikuwa ni dini ganiAl kaaba iko tangu enzi ya aadam amani iwe juu yake, na ibraahiym amani iwe juu yake aliimarisha tu jengo lake.
Huu utamaduni ni tangu enzi ya Nabii Ibrahim lakini baadae ndiyo yakasogea mpaka enzi ya Mtume Muhammad.Je waliokuwa wanahiji hayo masanamu ya Kaaba walikuwa waislamu ama imani zingine ?
Kwani uislamu na quran alipewa nani kama sio mtume Muhammad, useme kabla ya Muhammad waislamu walikuwepo wanaenda hadi Kuhiji kwenye Kaaba
Huu utamaduni ni tangu enzi ya Nabii Ibrahim lakini baadae ndiyo yakasogea mpaka enzi ya Mtume Muhammad.
Hijja yenyewe inahusu sana historia ya Nabii Ibrahim mwenyewe, mfano: pale mke wake alipoachwa jangwani na mtoto akawa anatafuta maji mpaka kikatokezea kisima cha maji jangwani (ndiyo hicho kisima cha zamzam). Hiyo safari yake yale masafa ndiyo hayo yanaitwa Safaa na Marwa.
Kuna na ibada nyingine ndio zimeongezwa wakati wa Mtume.
Sasa unakijibu kitu ambacho hukijuiHajj ya kuhiji mecca na madina ilianzishwa na mtume Muhammad.
Ni abdullahi mtoto wa abdul muttalib na alikufa katika dini ya jamaa zake, dini ya ushirikina.Mkuu samahani hivi baba yake nabii Muhammad alikuwa ni dini gani
Sema umejibu vizuri sana.Huyo aliyeweka toka karne hizo yeye alikuwa na hesabu zipi kwa kwa kipindi hicho?
Mkuu swali lingine kabla ya Muhammad kuupata utume na unabii alikuwa ni muislam yeye pamoja na jamaa zake? au tangu mdogo yeye anamuabudu Mungu na sio masanamau yaliyokuwepo MakkaNi abdullahi mtoto wa abdul muttalib na alikufa katika dini ya jamaa zake, dini ya ushirikina.
Ni sawa, kabla ya kupata utume alikuwa anafanya ibada zake kwa kufuata athari iliyoachwa na nabii ibraahiym kwasababu mwanae ismail alikuwa ni mkazi hapo na yeye mtume muhammad ni katika kizazi cha ibrahiym.Mkuu swali lingine kabla ya Muhammad kuupata utume na unabii alikuwa ni muislam yeye pamoja na jamaa zake? au tangu mdogo yeye anamuabudu Mungu na sio masanamau yaliyokuwepo Makka
Sijasema hivyo.ardhi ya laana
Huoni Barafu kwenye Jamii Forum Vikindu kuna Barafu?Haaa! Kwamba huko Vikindu ulipozaliwa ni ardhi ya laana ila Macca pekee ndo ardhi iliyobarikiwa!