Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga wewe ulishawahi kuwaona hao uliowataja wakichangiwa kwenye sherehe zaoHujui kitu mabilionea wote duniani huwa na mifuko ya kuchangisha inaitwa Foundation kusaidia watu
Kuna Billy Gates Foundation, Mo Dewji Foundation, Benjamin Mkapa Foundation nk yote hiyo huchangiwa na watu mbalimbali duniani hata maskini wa kuchangia dola moja
Mchango ni njia mojawapo ya kusema tuko pamoja kwenye hilo jambo lako kwa tendo la kuchangia sio tuko kwa maneno
Donald Trump ni bilionea lakini pesa za kampeni kachangiwa hadi na watu wa chini ni njia yao ya kusema tuko pamoja na wewe
Concept yako ya kusema kuchangisha kuwa mchangishaji maskini haiko sawa
Narudia shida umezaliwa koo na familia malofa na wasio na mshikamano
Hii mada iko juu ya uwezo wa kichwa chako kitalipuka moto bure ngumu kwako kuelewa
Naamini huelewi maana ya 'common sense'. Vilevile, hujaelewa maana na kazi ya neno 'HATA' katika sentensi yangu.Ukiwa na common sense utakuwa mtu common sana wa kawaida mno kunahtajika mtu kuwa na akili above common sense kufanya mambo makubwa
Na wewe kama una common sense kichwa chako kibovu yaani ulienda kusoma ili uwe na common sense pole
Umepoteza muda kusoma
Mara nyingi mjinga huwaona wengine kuwa wajinga. Kuwa makini kuonyesha ujinga wako kwenye maandishi.Sasa hapo mwenye sherehe anawaburudisha waalikwa au yeye?
Sherehe ni ndugu na marafiki kumburudisha na kumsherehesha mwenye sherehe yake sio vinginevyo
Hilo la kwako haliko sahihi ujinga mtupu
Watu wakichanga ni kumsherehesha mwenye sherehe sio yeye kuwasherehesha wao
Una mawazo ya kimaskini sana
Achange tu ili kuondoa gubu na chuki. Ila ni mambo ya ajabu kuchangisha pesa za graduationPumbavu... hawa ndio wasomi wetu, yanashangilia kumaliza elimu yao lkn kichwani hamna kitu, na hata lamaana labda lenye mchango kwa taifa hakuna.
Tunasafari ndefu sana waTz kwa kuendekeza upuuzi usio na maana, huyo mpumbavu mwambie hizo pesa angewekeza ktk gunduzi na tafiti za kuisaidia jamii kutatua changamoto mbalimbali, na sio kuendekeza starehe ya dakika chache isiyo na faida.
Bado wahitimu na wasomi wetu haijulikani huko masomoni wanajifunza vitu gani, maana akili zao haziko tofauti na wasio soma.
Narudia tena, huyo mpumbavu au hata kama ni wewe hizo pesa za kufanyia ujinga wa sherehe elekeza nguvu hizo na pesa hizo kutatua mambo ya msingi na sio sherehe.
Hawa ndio wasomi wetu
Bora huyo kuliko mtu mzima na ndevuMm kuna mdada mtoto wake amemaliza std 7 anamfanyia sherehe mwezi ujao anataka nimchangie...yan nimecheka kimoyomoyo nimeshindwa hata kumjibu
Sasa hizo so called foundation wtu huwa wanatakatishia fedha kwa tafrifa yako!Hujui kitu mabilionea wote duniani huwa na mifuko ya kuchangisha inaitwa Foundation kusaidia watu
Kuna Billy Gates Foundation, Mo Dewji Foundation, Benjamin Mkapa Foundation nk yote hiyo huchangiwa na watu mbalimbali duniani hata maskini wa kuchangia dola moja
Mchango ni njia mojawapo ya kusema tuko pamoja kwenye hilo jambo lako kwa tendo la kuchangia sio tuko kwa maneno
Donald Trump ni bilionea lakini pesa za kampeni kachangiwa hadi na watu wa chini ni njia yao ya kusema tuko pamoja na wewe
Concept yako ya kusema kuchangisha kuwa mchangishaji maskini haiko sawa
Narudia shida umezaliwa koo na familia malofa na wasio na mshikamano
Hii mada iko juu ya uwezo wa kichwa chako kitalipuka moto bure ngumu kwako kuelewa
Toa Hela kama hauna Nia ya kutoa futa Uzi , periodJamani kuna jamaa kahitimu masters anataka kusherehekea kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa. Hivyo nimeombwa kumchangia katika Sherehe yake hiyo ya kumaliza masters itakayofanyika Ukumbini.
Viwango :
Single Tsh. 30,000/=
Double Tsh.50,000/=
Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii.
Yaani mm ni joho, then home full stop!Jamani kuna jamaa kahitimu masters anataka kusherehekea kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa. Hivyo nimeombwa kumchangia katika Sherehe yake hiyo ya kumaliza masters itakayofanyika Ukumbini.
Viwango :
Single Tsh. 30,000/=
Double Tsh.50,000/=
Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii.
Tatizo siyo kiasi cha kuchangia, ishu unachangia kitu gani, kuna mambo ya kijinga siyo ya kuchangia. Pia unaposema nitafute pesa unajuaje kama sina hizo pesa? Au nimewahi kukuomba pesa?Huna hela tafuta hela lofa wewe yaani kuchangia elfu 50 unaona utafilisika
Elfu 50 nayo ya kupiga yowe lofa wewe
Yeye ndiye kahitimu na anafurahi kwa kuhitimu, Kama ameamua kufanya sherehe hakupaswa kuomba michango! Aandae mwenyewe aalike watu wafurahi pamoja! Kama hawezi anaweza kufurahia akiwa nyumbani kwa gharama nafuu kabisa!Jamani kuna jamaa kahitimu masters anataka kusherehekea kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa. Hivyo nimeombwa kumchangia katika Sherehe yake hiyo ya kumaliza masters itakayofanyika Ukumbini.
Viwango :
Single Tsh. 30,000/=
Double Tsh.50,000/=
Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii.
Wabongo hata maprofesa wana mambo ya kipuuzi sana, seuze Masters?Nadhani umekosea kusoma kadi ya kuomba mchango, huenda jamaa anahitimu cheti.
Mtu anayepata masters hawezi kuwa mjinga wa kiwango cha kuandaa sherehe.
Huyo anatafuta mchango ajiajiri ajira hazipo tena.Jamani kuna jamaa kahitimu masters anataka kusherehekea kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa. Hivyo nimeombwa kumchangia katika Sherehe yake hiyo ya kumaliza masters itakayofanyika Ukumbini.
Viwango :
Single Tsh. 30,000/=
Double Tsh.50,000/=
Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii.