Mcharo kawa mtamuuu

Hyo ni tafsiri ya brain tu, hata pili pili kuna baadhi ya watu wazma wameshindwa kuila lkn wengine wanaipenda. Au kati ya Papuchi, Tigo na Mkono ipi tamu? Itategemea na ubongo wako unatafsiri vp. Wabongo tunapenda sana vitu vya gizani, mkiwekewa peupe mnasema maadili, ndo maana hata wazaz wanashindwa kuwapa elimu ya mahusiano watoto wao wakiogopa lugha za kuongea nao, na ndio maana vbinti vnagongwa hovyo. Mzaz wa bongo mwambie, baba huyu ni bf wangu uone moto. Matokeo yake watoto wamekua wanahaha kutafuta wasamalia wema ili wawagegede japo kidogo. Ndo maana ukimwi afrika kuisha itakua ndoto maana akiri zetu zinawaza negative muda wote, na cku hz kila neno limeanza kuwa tusi. Nyuma, mbele, katikati, chini, haya yote ni matusi nowdays. Tukuumbuke kuwa mficha maradhi kifo kitamuumbua
 
Lakini kumbuka hao wazungu tunaowasifu kwa uwazi ndio wapuuzi kupitiliza! Kwa wale ambao wameishi hizo nchi za ughaibuni watanielewa ninachokiongea
 
Lakini kumbuka hao wazungu tunaowasifu kwa uwazi ndio wapuuzi kupitiliza! Kwa wale ambao wameishi hizo nchi za ughaibuni watanielewa ninachokiongea

Nakumbuka Remmy miaka ya nyuma sn aliimba "Jamani mambo kwa sox", serikali ya kipindi kile kwa ujuha wao wakaifungia ngoma isipigwe kokote. Baadae walipokuja pata akiri wakajua msanii alikuwa sahihi. Tubadilike jaman
 
Tangazo la king`amuzi cha Star tv ati mke wa mtu anakwenda angalia TV kwa jirani, jamaa karudi mke naye anarudi jamaa anamuhoji mke wake mjinga mmoja anatokea kumuelewesha kuhusu king`amuzi mimi huwa nabadili chaneli maana huwa nasikia kichefuchefu hainiingii mtu anaongea na mkewe wewe unaingila kati, yaani siri ya matangazo ya hovyo na yenye kichefuchefu TZ ni ubaghili wa kupindukia, kampuni inataka ijitangaze huku inaona ubaghili kutoa pesa ya matangazo inaokota watu wa ajabu wasiokuwa na ujuzi wala uzoefu wa matangazo kwa kweli yapo mengi sana
 
Ni shida tupu. Mcharo kawa mtamu halafu mke wake kila siku anapika nyama baada ya kupata mkopo wa Airtel Money. Inaonyesha ni jinsi gani Mcharo alivyokuwa mjinga. Yaani anachukua mkopo halafu wote unaishia kwenye nyama. Tangazo halina uhalisia.
 
Matangazo mengi hasa ya mitandao ya simu ni upuuzi mtupu
 
Doh!!!?!![emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] Mcharo mie Marahii Nimekuwa Mtamu..!!!

Ama Kweli Jaza UJazwe"
 
Mkuu inabidi na wewe Tukutafutie hata Promo Humu JF Mshana Jr kawa Mtamu.[emoji2] [emoji56] maana Co Kutajwa Huku Mpaka Nyani Ngabu kupigwa BaN[emoji724] .
 
Ni shida tupu. Mcharo kawa mtamu halafu mke wake kila siku anapika nyama baada ya kupata mkopo wa Airtel Money. Inaonyesha ni jinsi gani Mcharo alivyokuwa mjinga. Yaani anachukua mkopo halafu wote unaishia kwenye nyama. Tangazo halina uhalisia.
[emoji205] [emoji205] [emoji205] [emoji205] [emoji205] [emoji102] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…