Wakuu habari
Siku hizi Nina interest kubwa na quantum physics au quantum mechanics na nilikuwa najaribu kuhusianisha hizi habari za wachawi kupita kati ya kuta za nyumba na kuingia ndani na kitu kinachoitwa quantum tunnelling kwenye quantum physics.
Si wachawi tu Ila kuna simulizi katika biblia la Yesu kuingia ndani ya nyumba ilivyokuwa imefungwa na kuongea na kula na wafuasi wake.
Miaka ya zamani Kuna mganga wa kienyeji alikuja nyumbani kumtibu mgonjwa kwa mitishamba. Mama akawa ana mashaka na ufanisi wake.
Yule mganga akasema kama huamini Mimi ni mganga acha nitoke nje halafu funga milango yote nami nitaingia humu ndani. Mama alikataa kufanya hivyo.
Sasa sijui yule mganga alikuwa na uwezo huo au ilikuwa mikwara tu. Wenye ujuzi au waliowahi kushuhudia haya mambo please let us share some insights.