Kuna dawa nilipewa na bi mkubwa ilikuwa yakuweka chini ya mto
Basi ilipo fika usiku wakati nimelala pale kitandani nikamuona anaingia kupitia mlangoni akiwa amevaa nguo nyeusi na alikuwa mwanamke basi nikajikuta napiga kelele tokaaa na pale kitandani kukawa kuna mabadiliko fulani
Pia kuna nyumba niliwahi panga na ktk nyumba ile tulikuwa tumepanga na mama mmoja hivi kutoka kigoma yaani muhaa, aisee yule mama alikuwa mchawi sana na moja ya tukio ambalo siwezi kulisahau ni pale nilipomuona mwanae anaingia chumba cha jirani bila mlango kufunguliwa, anyway inavyosemekana kuna mafuta wanatumia yaani akinipaka anakua haonekani pia anakuwa na uwezo wa kuingia sehemu yoyote ile hata kama kuna geti kali
Mchawi mwingine nilimshudia akiingia kupitia kona ya mlango kinyume nyume aisee nilimkunja akawa anaomba msamaha huku akitaka nimfile theni nikaamf*l* halafu nikamluhusu aende.