Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Physics na mechanics ni maneno mawili yenye maana moja?Tuanzie hapo kwanza!hivi unafahamu kuwa quantum physics na quantum mechanics ni maneno mawili yenye maana moja?,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Physics na mechanics ni maneno mawili yenye maana moja?Tuanzie hapo kwanza!hivi unafahamu kuwa quantum physics na quantum mechanics ni maneno mawili yenye maana moja?,
duh,basi,basi elewa haya ni maneno mawili ila maana moja,Physics na mechanics ni maneno mawili yenye maana moja?Tuanzie hapo kwanza!
Ikiwa physics na mechanics ni maneno mawili yenye maana tofauti kama tunavyoona kwenye hii screenshot hapa chini basi hata quantum physics na quantum mechanics nayo yatakuwa ni maneno mawili yenye maana tofauti.Umeelewa?duh,basi,basi elewa haya ni maneno mawili ila maana moja,
kaka hiki kitu nimekisoma,nimefundisha na ninafundisha hadi sasa,hivyo nakijua vilivyo,quantum physics inaitwa pia quantum mechanics kwa kuwa kwenye quantum physics tunasoma mechanical behaviour za particle ndogo,hivyo usichanganye physics na mechanics hapa tunasema quantum physics na quantum mechanics;Ikiwa physics na mechanics ni maneno mawili yenye maana tofauti kama tunavyoona kwenye hii screenshot hapa chini basi hata quantum physics na quantum mechanics nayo yatakuwa ni maneno mawili yenye maana tofauti.Umeelewa?View attachment 1752405
Kwa hiyo msimamo wako ni kwamba hakuna tofauti kati ya quantum physics na quantum mechanics?Nikuwekee tofauti zake pamoja na references?kaka hiki kitu nimekisoma,nimefundisha na ninafundisha hadi sasa,hivyo nakijua vilivyo,quantum physics inaitwa pia quantum mechanics kwa kuwa kwenye quantum physics tunasoma mechanical behaviour za particle ndogo,hivyo usichanganye physics na mechanics hapa tunasema quantum physics na quantum mechanics;
leo nimeamua tu kukuuliza hili jambo angalau nipate machache,kama kitu hauna hakika nacho ni heri kukubali tu,sio kuleta maana tofauti;
nashukuru kwa kuwa hili titaliacha,tukajenge tanzania sasa;
Benki huwa zinawekwa ngao uwezi mkuta mchawi benki,maana mabenki makubwa huwa yanawekewa makafara mengi sanaMbona huwa hawapenyi kwenye kuta za Benki,ila wanakuja kupenya huku Uswahilini na kutusumbua sisi masikini wenzao
Kuna unga fulani hivi (siri) hujipaka hao watu mara nyingi hupitia kwenye kona za nyumba mlangoni sijajua yani ukianza kutoweka unakufyonza kama unavutwa na sumaku na kukupekeka sehemu uliyo nuuwia ni speed ya sekunde kwa sekunde naweza diliki kutamka speed ya mwang
Unapatikana wapi huo unga?🤔Kuna unga fulani hivi (siri) hujipaka hao watu mara nyingi hupitia kwenye kona za nyumba mlangoni sijajua yani ukianza kutoweka unakufyonza kama unavutwa na sumaku na kukupekeka sehemu uliyo nuuwia ni speed ya sekunde kwa sekunde naweza diliki kutamka speed ya mwanga.
utaingia kwenye biashara za watu kirahis. mtu anaweza kuleta mada na kuichagiza kwa id tofaut tofaut. hakuna kitu kama hicho.Unapatikana wapi huo unga?🤔
Nenda kwa waganga utaukuta huko ndugu mimi nimechangia tu kuelekeza.Unapatikana wapi huo unga?[emoji848]
yani mtu unabisha kabisa kama uko timamu vile? ninyi ndo mnaambiwaga hii simu mnabisha mnakazania kuonjautaingia kwenye biashara za watu kirahis. mtu anaweza kuleta mada na kuichagiza kwa id tofaut tofaut. hakuna kitu kama hicho.
Nimekulewa vizur na aya maelezo yako mwili una baki ndani inayitoka ni roho OK na vipi pale akishkwa au kunasa kwa wa babe vipi ana uvuta mwili fasta uje kule au sas inakua mili miwili?! Inakuaje hapa mkuu?Binadamu ana mwili na roho.
Wachawi wana uwezo wa kuzitoa roho zao kutoka kwenye miili yao kwa kutumia nguvu za shetani na majini.
Kinachoingia nyumbani kwako ni roho ya mchawi na sio mwili wake.
Mwili anauacha kitandani, anaenda kuwanga kwa kutumia roho yake ya uchawi.
Roho inapenya popote maana sio kitu cha kushikika (matter).
Ndio maana hata mkeo akiwa mchawi huwezi kumjua asilani.
Ataenda kuwanga anaacha mwili kitandani ukidhani amelala.
Mhm apo kwenye kuf;;;;;;;; ayo mafuta ni ya msukule wachawi walioacha huwa wanayataja sana ukijipak uonekani popote labda mwenye nguvu ya mungu au mweny dawaKuna dawa nilipewa na bi mkubwa ilikuwa yakuweka chini ya mto
Basi ilipo fika usiku wakati nimelala pale kitandani nikamuona anaingia kupitia mlangoni akiwa amevaa nguo nyeusi na alikuwa mwanamke basi nikajikuta napiga kelele tokaaa na pale kitandani kukawa kuna mabadiliko fulani
Pia kuna nyumba niliwahi panga na ktk nyumba ile tulikuwa tumepanga na mama mmoja hivi kutoka kigoma yaani muhaa, aisee yule mama alikuwa mchawi sana na moja ya tukio ambalo siwezi kulisahau ni pale nilipomuona mwanae anaingia chumba cha jirani bila mlango kufunguliwa, anyway inavyosemekana kuna mafuta wanatumia yaani akinipaka anakua haonekani pia anakuwa na uwezo wa kuingia sehemu yoyote ile hata kama kuna geti kali
Mchawi mwingine nilimshudia akiingia kupitia kona ya mlango kinyume nyume aisee nilimkunja akawa anaomba msamaha huku akitaka nimfile theni nikaamf*l* halafu nikamluhusu aende.
Ha ha ha!!Mbona huwa hawapenyi kwenye kuta za Benki,ila wanakuja kupenya huku Uswahilini na kutusumbua sisi masikini wenzao
Na wale wachawi wanaoangukaga na nyungo inakuaje wakiwa wanaenda au wanarudi kuloga inakuwaga roho au??Binadamu ana mwili na roho.
Wachawi wana uwezo wa kuzitoa roho zao kutoka kwenye miili yao kwa kutumia nguvu za shetani na majini.
Kinachoingia nyumbani kwako ni roho ya mchawi na sio mwili wake.
Mwili anauacha kitandani, anaenda kuwanga kwa kutumia roho yake ya uchawi.
Roho inapenya popote maana sio kitu cha kushikika (matter).
Ndio maana hata mkeo akiwa mchawi huwezi kumjua asilani.
Ataenda kuwanga anaacha mwili kitandani ukidhani amelala.
Na mimi nilitaka niulize hiviNa wale wachawi wanaoangukaga na nyungo inakuaje wakiwa wanaenda au wanarudi kuloga inakuwaga roho au??