Mchawi anawezaje kuingia ndani ya nyumba iliyofungwa?

Mchawi anawezaje kuingia ndani ya nyumba iliyofungwa?

Haya mambo ni mazito sana kuyaelezea yakaeleweka vizuri,lakin nijuavyo binadam anaetaka kukufanyia jambo baya ana uwezo wa kujigeuza akawa mdudu kama sisimiz siafu mende.n.k..hujivua ule uhalisia wa kawaida.. hivyo unaweza kuona wadudu ndan kumbe ndo majamaa wamekutembelea.
 
Hata Mimi naamini hivyo. Sema hili jina uchawi labda ndio limewaweka wengine mbali na sayansi hii. Maana Mambo aliyofanya Yesu na nitume yamepewa jina la miujiza. Wewe ukifanya leo unaitwa mchawi🤔🤔
Shetani anazijua Siri za Mungu maana walishiriki wote uumbaji
 
Mbona huwa hawapenyi kwenye kuta za Benki,ila wanakuja kupenya huku Uswahilini na kutusumbua sisi masikini wenzao
 
Kuna jamaa yangu wa karibu sana na huwa namuamini sana

Iko siku aliniijia Asubuhi sana na kunisimulia kisa cha kushangaza alisema alipokuwa akijaribu kulala alisikia kama kuna Mtu chumbani mwake

Anasema ikambidi aamke achunguze ni nani huyo anasema alipowasha taa ghafla anamuona Bibi Kizee wa Mtaa wa jirani akiwa mtupu kama alivyozaliwa.

Nikamwambia labda hakufunga vizuri mlango wake akasema milango huwa niwili na yote aliifunga

Anasema baada kama ya dakika Ishirini yule kikongwe akapotelea Ukutani.
Mambo haya tunatakiwa kuyatafiti kwa kina. We might be neglecting a jewel that could be useful🤔
 
Haya mambo ni mazito sana kuyaelezea yakaeleweka vizuri,lakin nijuavyo binadam anaetaka kukufanyia jambo baya ana uwezo wa kujigeuza akawa mdudu kama sisimiz siafu mende.n.k..hujivua ule uhalisia wa kawaida.. hivyo unaweza kuona wadudu ndan kumbe ndo majamaa wamekutembelea.
Ndio Sasa wenye hii teknolojia wanatajiwa kutugawia ujuzi lakini tuutumie kwa mema Teknolojia ikitumika vizuri haitaitwa uchawi
 
Mbona huwa hawapenyi kwenye kuta za Benki,ila wanakuja kupenya huku Uswahilini na kutusumbua sisi masikini wenzao
Ndio maana nimeweka huu uzi Ila watujuze. Labda wana operating principles zao, who knows🤔
 
Mambo haya tunatakiwa kuyatafiti kwa kina. We might be neglecting a jewel that could be useful🤔
Farao alivuna hizo Nguvu lwa maelfu ya Miaka
Watu kama akina Imhotep alichanganya hizo Nguvu na Dawa za kawaida na kufanya mapinduzi makubwa ya tiba.
 
Farao alivuna hizo Nguvu lwa maelfu ya Miaka
Watu kama akina Imhotep alichanganya hizo Nguvu na Dawa za kawaida na kufanya mapinduzi makubwa ya tiba.
Kwa nini sisi tunazidharau na kuona Ni dhambi? Au tumepumbazwa?
 
Kwa nini sisi tunazidharau na kuona Ni dhambi? Au tumepumbazwa?
Well... ni baada ya uvamizi wa Misri ya Kale na Wayunani na Wapersia na baadae Waroma wakachukua Ile Elimu

Na sisi kutupumbaza kwa mafundisho yenye nusu ukweli nusu uongo.
 
Sasa hivi zinaitwa Nguvu za Giza lakini wenzetu waanziita Quantum Machenics
 
Well... ni baada ya uvamizi wa Misri ya Kale na Wayunani na Wapersia na baadae Waroma wakachukua Ile Elimu

Na sisi kutupumbaza kwa mafundisho yenye nusu ukweli nusu uongo.
Wakatuachia manyoya wao wakala kuku😁
 
Sijui Kama bado ni imagination maana Sasa wanatengeneza quantum computers kwa kutumia nadharia ya superposition. Nadhani Kuna moja tayari imetengenezwa ina 64 quantum bits
Is not imagination, kuna a lot of estabkished facts. Labda hakuielewa vizuri
 
Sijui Kama bado ni imagination maana Sasa wanatengeneza quantum computers kwa kutumia nadharia ya superposition. Nadhani Kuna moja tayari imetengenezwa ina 64 quantum bits
Niamin mm quantum bado tena we unadhan mtu kupita kwenye ukuta ni kaz rahis binadamu ni matter sikatai lkn ana cell tissues organ nk naweza kusema kwa sasa quantum is impossible
 
Is not imagination, kuna a lot of estabkished facts. Labda hakuielewa vizuri
Ebu nipe link ata ya youtube nione jinsi mzungu alivyo nyoko

Na km quantum is possible basi tuseme tu upo uwezekano wa kumfanya binadamu awe na zero mass na still akawa anaish yaan mtu majivu
 
Binadamu ana mwili na roho.

Wachawi wana uwezo wa kuzitoa roho zao kutoka kwenye miili yao kwa kutumia nguvu za shetani na majini.

Kinachoingia nyumbani kwako ni roho ya mchawi na sio mwili wake.

Mwili anauacha kitandani, anaenda kuwanga kwa kutumia roho yake ya uchawi.

Roho inapenya popote maana sio kitu cha kushikika (matter).

Ndio maana hata mkeo akiwa mchawi huwezi kumjua asilani.

Ataenda kuwanga anaacha mwili kitandani ukidhani amelala.
 
Kuna dawa nilipewa na bi mkubwa ilikuwa yakuweka chini ya mto
Basi ilipo fika usiku wakati nimelala pale kitandani nikamuona anaingia kupitia mlangoni akiwa amevaa nguo nyeusi na alikuwa mwanamke basi nikajikuta napiga kelele tokaaa na pale kitandani kukawa kuna mabadiliko fulani

Pia kuna nyumba niliwahi panga na ktk nyumba ile tulikuwa tumepanga na mama mmoja hivi kutoka kigoma yaani muhaa, aisee yule mama alikuwa mchawi sana na moja ya tukio ambalo siwezi kulisahau ni pale nilipomuona mwanae anaingia chumba cha jirani bila mlango kufunguliwa, anyway inavyosemekana kuna mafuta wanatumia yaani akinipaka anakua haonekani pia anakuwa na uwezo wa kuingia sehemu yoyote ile hata kama kuna geti kali

Mchawi mwingine nilimshudia akiingia kupitia kona ya mlango kinyume nyume aisee nilimkunja akawa anaomba msamaha huku akitaka nimfile theni nikaamf*l* halafu nikamluhusu aende.
 
Back
Top Bottom