Mchawi anawezaje kuingia ndani ya nyumba iliyofungwa?

Kitu hicho hakipo mtu apenye kwenye ukuta!!. Mtu anaweza kuingia ndani ya nyumba kupitia mlangoni kwa njia ya viini macho au wewe mwenyewe bila kujielewa unaweza kumfungulia mlango hichi ndicho wachawi hufanya ili kuingia ndani ya nyumba.
Mkuu hao ni wataalamu haswa. Hapa ninapoishi kuna mtu amekaliwa na mchawi livelive na kuongea anaongea kabisa kutoa vitisho
 
Mkuu hao ni wataalamu haswa. Hapa ninapoishi kuna mtu amekaliwa na mchawi livelive na kuongea anaongea kabisa kutoa vitisho


Haiwezekani kwa mtu yeyote kuingia ndani ya nyumba kwa kupitia UKUTANI (mahali ambapo hakuna uwazi).---- hicho ndicho ninachosema, kama mchawi sio mtu basi ataweza kupita.
 
Na wale wachawi wanaoangukaga na nyungo inakuaje wakiwa wanaenda au wanarudi kuloga inakuwaga roho au??
Wanakosea utaalamu wa kujivua roho ndio maana wanakamatwa!

Huwa wanapaswa kujivua roho na kuuacha mwili kitandani.

Akikosea kujivua roho akaondoka na mwili lazima anaswe.
 
Nimekulewa vizur na aya maelezo yako mwili una baki ndani inayitoka ni roho OK na vipi pale akishkwa au kunasa kwa wa babe vipi ana uvuta mwili fasta uje kule au sas inakua mili miwili?! Inakuaje hapa mkuu?
Zingine huwa ni stori za uongo tu!

Ni ngumu mchawi kunaswa mwili wake maana hawangi kwa kutumia mwili!

Kama atanaswa ujue ni roho yake ya kichawi ndio imenaswa na wababe zaidi yake!

Na roho yake ikinaswa harudi tena. Kesho yake mtasikia msiba kwa jirani.
 
Ukitaka kuamini kwamba wachawi wanatumia roho zao kuwanga, nenda kaoe mwanamke mchawi halafu uone kama utamgundua.

Utaishi nae siku zote na kamwe hutajua anaondoka sangapi kwenda kuwanga.
 
Hahahaha
Mzee haya ya kweli au

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…