Mchawi kazi yake ni kuroga urudi nyuma, jilinde

Mchawi kazi yake ni kuroga urudi nyuma, jilinde

Ushirikina ni chanzo kikuu cha kuzalisha negative energy kwenye Jamii na Jamii ikishakuwa negative Hakuna maendeleo. Lengo kuu la uchawi ni kuwafanya watu wawe masikini na kutokana na umasikini tabia zote chafu uzaliwa. Ukahaba, wizi, roho mbaya, matusi, ukorofi, vurugu nk.
Ndo maana wenzetu waliua wachawi wote Ili kupata Jamii bora
 
Ulishushwa kwa ajili gani, labda utueleze
Ili kuupunguza uwezo wa kufikiri wa mwanadamu Ili awe masikini Ili amuabudu shetani, umasikini ndio chanzo cha tabia zote chafu ngono,ulevi, vurugu,matusi,wizi nk,fanya study washirikina wengi thinking capacity zao zipo chini sana sawa na kuku hata maeneo yenye imani hizo yapo duni Sana kimaendeleo kuliko Jamii zisizoamini. Uchawi ni negative power.
 
Sipo hapa kumshawishi mtu aingie kwenye ushirikina, sipo hapa kudharau Imani ya dini ya mtu yoyote... Ila Nipo hapa kusema ukweli...

Watu wanatupa moyo kuhusu mafanikio, wengi wao husema kufanya kazi kwa bidii ndio njia ya mafanikio! Wao huita hiyo ndio Siri!

Lakini Ndugu zangu nipo hapa kuwapa Siri ingine ya mafanikio! Sio kuua mzazi wa kutoa kafara Ila Ni kukulinda...Katina mafanikio au katika biashara yoyote.

Mtu asikuambie mtaji wa laki Tano ndio ulionifanya niwe na nyumba na magari! Tena wanasema nilifanya kazi Sana kwa bidii, na siri ya mafanikio yangu Ni kufanya kazi kwa bidiii! Huo Ni uongo mtupu...

Siri za mafanikio zipo kwenye Siri ya ushirikina moja, Ni wewe kujikinga kupitia ushirikina! Au kukinga biashara yako kwa ushirikina, usipozingatia Ayo maisha yako yatakuwa chini miaka nenda miaka rudi huku ukiona wengine wanashaini

Mchawi kazi yake sio kuroga tu kazi yake ingine Ni kurudisha nyuma maisha yako....

Karibuni 2022.
Dawa ya mchawi ni kuwa mchawi zaidi yake!... sasa wewe kumkomesha changanya na mazingaombwe, akija kukuroga unageuka mnyama tembo kichaa!.....

halafu sometimes organise majambazi fake!! yaje yatie mkwara mbele yake!! halafu wewe hapohapo mbele yake geuka sisimizi!upoteee! umuonyeshe tu kwamba yeye huyo nae kuwangia ana deal na kigagula hatare!!

mpeleleze ujue mganga wake nani!! sasa pale kwa mganga wake! wewe tia kijiwe hapo km msadizi wa mganga!! mchuma dawa!
 
Nimeishi ulaya na bado nakwenda ulaya, uchawi upo ulaya tena mkubwa sana ila matumizi ndio tofauti.

Hawatumii uchawi kumtia mtu nuksi.

Mfano leo ni mwaka mpya sehemu nyingi ulaya usiku watawasha moto mkubwa sana wa kuni ikiwa ni matambiko ya imani zao lakini ni za kishirikina pia.

Tena kma hawa wajerumani nao wako vizur katika hio sekta
 
True wachawi waganga na washirikina wote inatakiwa waondolewe kwenye Jamii kwani kundi hili ndilo liletalo mafarakano na migogoro yote kwenye Jamii.
Mganga ndie uwapa dawa vibaka,wezi majambazi Ili waisumbue jamii, mganga ndie ufarakanisha ndugu,Jamii, familia zisielewani, mchawi uharibu jamii kwa kuijengea hofu isifanye maendeleo,fikra za wengi zimeharibika,wameacha kuamini wanaweza fanya chochote bila kutegemea nguvu za giza.
Mbona tunasikia huko migodini na uvuvi hutumika ushirikina?
 
Kuwaua wachawi sindio haki za binadamu zitaingilia kati, kwamba mnaua watu bila sababu
Na mauji hayotoishia hapo tu, tutaanza kufikiria tuwaue na majambazi na mafisadi maana nao wanaturidisha nyuma kimaendeo.
 
Sipo hapa kumshawishi mtu aingie kwenye ushirikina, sipo hapa kudharau Imani ya dini ya mtu yoyote... Ila Nipo hapa kusema ukweli...

Watu wanatupa moyo kuhusu mafanikio, wengi wao husema kufanya kazi kwa bidii ndio njia ya mafanikio! Wao huita hiyo ndio Siri!

Lakini Ndugu zangu nipo hapa kuwapa Siri ingine ya mafanikio! Sio kuua mzazi wa kutoa kafara Ila Ni kukulinda...Katina mafanikio au katika biashara yoyote.

Mtu asikuambie mtaji wa laki Tano ndio ulionifanya niwe na nyumba na magari! Tena wanasema nilifanya kazi Sana kwa bidii, na siri ya mafanikio yangu Ni kufanya kazi kwa bidiii! Huo Ni uongo mtupu...

Siri za mafanikio zipo kwenye Siri ya ushirikina moja, Ni wewe kujikinga kupitia ushirikina! Au kukinga biashara yako kwa ushirikina, usipozingatia Ayo maisha yako yatakuwa chini miaka nenda miaka rudi huku ukiona wengine wanashaini

Mchawi kazi yake sio kuroga tu kazi yake ingine Ni kurudisha nyuma maisha yako....

Karibuni 2022.
Sio kweli, hakuna mtu mzuri kam mchawi
 
Back
Top Bottom