Mchawi kazi yake ni kuroga urudi nyuma, jilinde

Ushirikina ni chanzo kikuu cha kuzalisha negative energy kwenye Jamii na Jamii ikishakuwa negative Hakuna maendeleo. Lengo kuu la uchawi ni kuwafanya watu wawe masikini na kutokana na umasikini tabia zote chafu uzaliwa. Ukahaba, wizi, roho mbaya, matusi, ukorofi, vurugu nk.
Ndo maana wenzetu waliua wachawi wote Ili kupata Jamii bora
 
Ulishushwa kwa ajili gani, labda utueleze
Ili kuupunguza uwezo wa kufikiri wa mwanadamu Ili awe masikini Ili amuabudu shetani, umasikini ndio chanzo cha tabia zote chafu ngono,ulevi, vurugu,matusi,wizi nk,fanya study washirikina wengi thinking capacity zao zipo chini sana sawa na kuku hata maeneo yenye imani hizo yapo duni Sana kimaendeleo kuliko Jamii zisizoamini. Uchawi ni negative power.
 
Dawa ya mchawi ni kuwa mchawi zaidi yake!... sasa wewe kumkomesha changanya na mazingaombwe, akija kukuroga unageuka mnyama tembo kichaa!.....

halafu sometimes organise majambazi fake!! yaje yatie mkwara mbele yake!! halafu wewe hapohapo mbele yake geuka sisimizi!upoteee! umuonyeshe tu kwamba yeye huyo nae kuwangia ana deal na kigagula hatare!!

mpeleleze ujue mganga wake nani!! sasa pale kwa mganga wake! wewe tia kijiwe hapo km msadizi wa mganga!! mchuma dawa!
 

Tena kma hawa wajerumani nao wako vizur katika hio sekta
 
Mbona tunasikia huko migodini na uvuvi hutumika ushirikina?
 
Kuwaua wachawi sindio haki za binadamu zitaingilia kati, kwamba mnaua watu bila sababu
Na mauji hayotoishia hapo tu, tutaanza kufikiria tuwaue na majambazi na mafisadi maana nao wanaturidisha nyuma kimaendeo.
 
Sio kweli, hakuna mtu mzuri kam mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…