Mchawi kazi yake ni kuroga urudi nyuma, jilinde

Endelea kuamini hivyohivyo lakini tu nikuambie uchawi upo...
 
watu wanaojifanya wakali pale unapogusia ukweli kuhusu kuwa uchawi hupo na kujifanya kama hawafahamu wakati wapo nyuma ya pazia!.

*sokoni
*mitaani
*kazini
*kwenye biashara zetu.
*biashara zinazo fanana
*ndugu,jirani,jamaa na marafiki.

uchawi hupo ndugu.kama una muamini mungu alafu utaki kumjua shetani !.si ujinga hapo

Dunia hii ni mbaya sana tena kwa nchi zetu hizi tulizopo.

ukiona watu wanamafanikio hata siku moja uwezi sikia anakwambia jikinge wala nenda kwa mtu fulani bali yeye atakwambia fanya kazi kwa bidii !?
 
walishavuka hiyo primitive stage, japo kuna karne zamani huko waliua sana wachawi..

sisi bado tuko primitive stage, tunapaswa kuanza kuwau wachawi, wajue jamii haiwapendi ili nao wapotee kabisa na jamii ipone..
True wachawi waganga na washirikina wote inatakiwa waondolewe kwenye Jamii kwani kundi hili ndilo liletalo mafarakano na migogoro yote kwenye Jamii.
Mganga ndie uwapa dawa vibaka,wezi majambazi Ili waisumbue jamii, mganga ndie ufarakanisha ndugu,Jamii, familia zisielewani, mchawi uharibu jamii kwa kuijengea hofu isifanye maendeleo,fikra za wengi zimeharibika,wameacha kuamini wanaweza fanya chochote bila kutegemea nguvu za giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…