Mchawi kazi yake ni kuroga urudi nyuma, jilinde

Shukuru Mungu baba yako hakuoa mshirikina akamleta kwenye familia yenu! Hilo ndio jambo pekee naweza kukwambia kwa sasa.
Mkuu Extrovert sikatai hayo mambo kuwepo na huenda na mimi yameniathiri, ninachosema ni kwamba unatakiwa kumtegemea Mungu kwa hali yoyote ile. Kinyume cha hapo unakuwa unachanganya au kutegemea nguvu nyingine tofauti. Hakuna binadamu aliyetumika kwa viwango vya juu katika utumishi wa Mungu kama Mtume Paulo, lakini alikuwa na ugonjwa sugu mwilini mwake hadi kumwomba Mungu amponye lakini hakupona, alipozidi kuomba, Yesu akamwambia neema yangu yakutosha. Ndo maana katika maneno yake ameandika hivi "Nitajivunia udhaifu wangu ili uweza wa kristo ukae juu yangu, maana ninapokuwa dhaifu ndipo nilivyo na nguvu" ingekuwa sasa ungesema aende kutafuta mitishamba au waganga wa kienyeji......nilipotafakari kuhusu haya maneno ya Mtume Paulo alimaanisha kwamba pamoja na kwamba anaishi katika hali ya udhaifu wa mwili, lakini imani yake katika Mungu au nguvu zake za kiroho zinaongezeka siku baada ya siku. Ndo maana mahala pengine kaandika hivi "Japokuwa utu wangu wa nje unachakaa, bali utu wangu wa ndani unafanywa upya siku kwa siku" haya ni maneno kutoka kwa mtu mwenye imani iliyovuka viwango vya kawaida vya kiimani.......​
 
Anatumia ID gani huyo jamaa nikasome hiyo post yake?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Nimefunguka kitu hapa

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Hebu zaliwa na ufanye Mambo yako bila kufunuliwa nakiumbe fulani Cha kiroho. Utakufa ivoivo, hata soksi itakushinda kuumba.
 
Mwafrika hawezi kuwa na maendeleo ni hadi pale atakapo Acha ushirikina na kutegemea akili yake aliyopewa na Mwenyezi Mung.
Kuamini ushirikina kunapunguza uwezo wa kufikiri
Kuna watoto una zaa , wakataze wasijue ushirikina , tuone watakufanyia Nini
 
Uko sawa na maisha yangu kaka..ila kuna suluisho Mungu yupo
 
Pole Sana.
 
Kaka ina uma sana.. Napitia magumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…