Mchawi kazi yake ni kuroga urudi nyuma, jilinde

Kwema mzee
 
Kaka ina uma sana.. Napitia magumu sana
Ulitakiwa uwe mtu mkubwa mno now, ila ona umekuwa wa kawaida(si wa kishua tens), kweli mchawi mbaya. Hapo ukikutana na mtu ukamuambia sisi tulikuwa wa kishua atakataa, mchawi mbaya. Sorry kama nakosea, ila nimewaza tu kaka. Utasimama tena kwa kishindo.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Nilikua siamini uchawi kabisa mimi na baba yangu, ila kilicho mtokea mdogo wangu mbele ya macho yangu 2009, ndipo nikaamini uchawi upo baba katika maisha yake hakuwai kutoa chozi alipofiwa na bibi na babu, lakini siku hiyo machozi yalimtoka,hivi vitu visikie kwa wenzio.
 
Mr p pengine unayosema ni kweli tupu lakini siku izi matepeli wengi ni wapi unaweza ukampata mtu wa ukweli atakaye kuwa tayari kukusaidia bila kutanguliza hela mbele

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Kulitokea nini?
Nakumbuka ilikuwa mwezi wa 11 ,2009 saa kumi na moja kasoro alfajiri dogo kapandisha akawa mavitu ya ajabu, misuli ya kichwa imemtoka anatokwa na jasho anaongea vitu vya ajabu, kwa kifupi tulichanganyikiwa wote. Ila bi mkubwa kidogo alikuwa na ujasiri akaingia ndani akachukua maji ya baraka akamwagia akatulia, ikapita robo saa akapandisha tena hapo ndipo baba machozi yalimtoka,dogo akawa anaongea vitu vya ajabu viki muhusisha jirani yetu ambaye tuna mtreat kama ndugu yetu.

Mama akamwagia tena chupa nzima ya maji ya baraka, ndipo akatulia tukamchukua na kumpeleka kanisani,bahati nzuri kulikuwa na padri ambaye alikuwa na karama, akamwombea akamwagia maji ya baraka na kumpa ekaristi ndipo akatulia. Baadae tuna mama yetu mdogo yeye ni mkaristimatiki akawa anaenda nae kwenye ibada zao kila siku kama mwezi ndipo akatulia.

Hivi vitu vipo na husiombee vikutokee halafu hauna idea.

Mimi nina mwanangu yupo vizuri sana kwenye mambo ya IT kila akijaribu kuapply kazi zina buma, anaishia kupata vitempo. Kuna ostazi mmoja akamchana nenda kwa shekhe fulani akakufanyie dua. Jamaa mwanzo alikuwa anakaza, ila hali ilivyozidi kuwa ngumu akaenda, akapigwa dua,huwezi amini ndani ya mwezi huo huo aliitwa interview na kupata kazi mpaka leo yupo kwenye ajira anakunja 2.9m ni mtaalam wa Database.Mwisho wa siku alikuja kugundua aliye mchezea ni shangazi yake, hakupiga bao ila aliota shangazi yake anamvuta arudi ndani, ikawa kila akimsalimia shangazi yake mwezi mzima haitikii salam yake.

Hawa wazee wetu wa zamani walio ipigania uhuru nchi hii,nao kwenye harakati zao walikuwa wanaenda sana kuchungulia na kujipa kinga. Nilitizama kipindi cha Mswahili na Zembwela Wasafi TV,Nyerere kipindi kile kabla ya uhuru alikuwa anaenda sana kwa Shekhe Ramia na alipelekwa na wazee wenzake.
 
Hua nashangaa sana hizi mentality za kijinga mkuu

Ni amani na furaha ipi mtu anaipata kwa kuteseka miaka 25 ?! Ukimwambia maisha sio pesa ..

Kuna mentality fulan ya kijinga sana baadhi ya watu hudhani wenye pesa hawana amani na furaha ...
Watoto wake watamchapa mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Unawaongelea vipi kina mwendazake waliokua wanaombewa na wachungaji, machifu, waganga , wachawi n.k
Kwenye mikutano yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…