Barakate I have
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 736
- 664
Umejuaje??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna msela aliendekeza issue za kujiganga imefikia hatua usiku akilala anageuka kichuguu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna msela aliendekeza issue za kujiganga imefikia hatua usiku akilala anageuka kichuguu
Daaaaahkuna msela aliendekeza issue za kujiganga imefikia hatua usiku akilala anageuka kichuguu
Kwema mzeeSawa usijari!
Unaweza kuwa na biashara Fulani sawa sawa na mtu X...
Wewe ukawa mchapakazi Sana Tena mwenye Hofu ya Mungu ..
Lakini mfanyabiashara X akawa na mtaji wa kawaida Sana Tena Sana.. rakini baada ya muda unashangaa anakupiga gape. Hapo huwa Kuna Siri! Ila Wengi hawataki kusema na wanaficha, Hakuna motivation speaker anaezungumzia kuhusu chuma ulete wao wanaamini katika pay yourself first ya the richest man in the Babylon....
Usione utajiri wa Mo ukajua Ni kurithi tu, ukiacha Mali Kuna vitu vingi sana amerithi...
So wewe Kama mfanyabiashara au mfanyakazi lazima uwe na akili ya kuchangamka...
Nina ndugu yangu Ana hardware zaidi za 10 dar es salaam.
Na migodi shinyanga, Ana mashamba mengi sana...
Ila kila mwaka lazima aende kwa wataalamu kujitapishwa dawa za limbwata anazopewa na wake zake guess what???
Wewe na ukapuku wako bado unamwamini mwanamke!!!!
Uchawi upo hasa wa kurudishana nyuma...
Nakupa my experience!
Nilikuwa na tabia ya kutumi fedha hovyo na pesa yangu huwa inapotea bila kuacha impact yoyote...
Nilijitahidi kusoma Sana vitabu na kubadilisha tabia lakini wapi kitabu Kama... The richest man in the Babylon... Poor Dad rich dad... The mirrioner in the next door na The money formula!!!
Bila manufaaa... Ila baada ya kwenda kwa mtaalamu kujisafisha nilibaini kuwa... Kuna ndugu zangu wanaamini Mimi nitakuja kuwa faraja kwa mzazi wangu
Kwaiyo wkaamua kuweka mazingira kuwa hela yangu isiwe na mchango wowote kwangu na kwa mama Yangu....
Nilikuwa sivai vizuri, sinywi pombe Sina makundi na makundi na hela sina...
Nakupa Siri, huwa Kuna mashetani wao kuja wakati una pesa kukushawishi kwa matumizi yasio na mbele Wala nyuma...
Hii Siri huwezi kusikika kwa mfanyabiashara Au motivation speaker yoyote..
Mwisho#
Miti imeubwa na Mungu Kama Tiba... Tumieni mitishamba...
Mfano baada ya kuweka au kulaza gari lako car parking kwa Malipo Kuna dawa ya mti Shamba unaweka kwenye gari. Au pikipiki
Mwizi akija wewe una amua afe baada ya siku moja .. au akute jiwe kubwa.....
Huoni Nina reduce cost ya kulaza gari kwa kununua mti Shamba????
Mwisho [emoji2]
25yrsPole sana kaka. Haya mateso niambie ni kwa muda gani ( miaka mingapi) unayapitia ?
Umethibitisha vipi pesa hamnaTuna zungumzia kuhusu mafanikio ya hela
Ulitakiwa uwe mtu mkubwa mno now, ila ona umekuwa wa kawaida(si wa kishua tens), kweli mchawi mbaya. Hapo ukikutana na mtu ukamuambia sisi tulikuwa wa kishua atakataa, mchawi mbaya. Sorry kama nakosea, ila nimewaza tu kaka. Utasimama tena kwa kishindo.Kaka ina uma sana.. Napitia magumu sana
Maisha ni kuwa na amani na furaha kwa kumudu kutawala mazingira yako.Maisha ni nini?
Kwa naniUmethibitisha vipi pesa hamna
Daaahhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Kwakweli sijui amejuaje, hadi kufikia hatua ya kujua namna mtu usiku nyumbani kwake anvyolala
Uwezo binafsi wa kupambanua mambo ikiwemo kuyaelewa mazingira yanayokuzunguka.Nipe.
Mr p pengine unayosema ni kweli tupu lakini siku izi matepeli wengi ni wapi unaweza ukampata mtu wa ukweli atakaye kuwa tayari kukusaidia bila kutanguliza hela mbeleSawa usijari!
Unaweza kuwa na biashara Fulani sawa sawa na mtu X...
Wewe ukawa mchapakazi Sana Tena mwenye Hofu ya Mungu ..
Lakini mfanyabiashara X akawa na mtaji wa kawaida Sana Tena Sana.. rakini baada ya muda unashangaa anakupiga gape. Hapo huwa Kuna Siri! Ila Wengi hawataki kusema na wanaficha, Hakuna motivation speaker anaezungumzia kuhusu chuma ulete wao wanaamini katika pay yourself first ya the richest man in the Babylon....
Usione utajiri wa Mo ukajua Ni kurithi tu, ukiacha Mali Kuna vitu vingi sana amerithi...
So wewe Kama mfanyabiashara au mfanyakazi lazima uwe na akili ya kuchangamka...
Nina ndugu yangu Ana hardware zaidi za 10 dar es salaam.
Na migodi shinyanga, Ana mashamba mengi sana...
Ila kila mwaka lazima aende kwa wataalamu kujitapishwa dawa za limbwata anazopewa na wake zake guess what???
Wewe na ukapuku wako bado unamwamini mwanamke!!!!
Uchawi upo hasa wa kurudishana nyuma...
Nakupa my experience!
Nilikuwa na tabia ya kutumi fedha hovyo na pesa yangu huwa inapotea bila kuacha impact yoyote...
Nilijitahidi kusoma Sana vitabu na kubadilisha tabia lakini wapi kitabu Kama... The richest man in the Babylon... Poor Dad rich dad... The mirrioner in the next door na The money formula!!!
Bila manufaaa... Ila baada ya kwenda kwa mtaalamu kujisafisha nilibaini kuwa... Kuna ndugu zangu wanaamini Mimi nitakuja kuwa faraja kwa mzazi wangu
Kwaiyo wkaamua kuweka mazingira kuwa hela yangu isiwe na mchango wowote kwangu na kwa mama Yangu....
Nilikuwa sivai vizuri, sinywi pombe Sina makundi na makundi na hela sina...
Nakupa Siri, huwa Kuna mashetani wao kuja wakati una pesa kukushawishi kwa matumizi yasio na mbele Wala nyuma...
Hii Siri huwezi kusikika kwa mfanyabiashara Au motivation speaker yoyote..
Mwisho#
Miti imeubwa na Mungu Kama Tiba... Tumieni mitishamba...
Mfano baada ya kuweka au kulaza gari lako car parking kwa Malipo Kuna dawa ya mti Shamba unaweka kwenye gari. Au pikipiki
Mwizi akija wewe una amua afe baada ya siku moja .. au akute jiwe kubwa.....
Huoni Nina reduce cost ya kulaza gari kwa kununua mti Shamba????
Mwisho [emoji2]
Ndo nimesha yaelewa. Sasa ujue kwamba Kila mtu anaelewa mazingira kutokana na Ali anayokulia.Uwezo binafsi wa kupambanua mambo ikiwemo kuyaelewa mazingira yanayokuzunguka.
Aaaaaa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi kama maisha sio pesa , basi yawezekana kama.una mke na watoto, kuna mtu anamuhudumia mkeo na watoto...
Nakumbuka ilikuwa mwezi wa 11 ,2009 saa kumi na moja kasoro alfajiri dogo kapandisha akawa mavitu ya ajabu, misuli ya kichwa imemtoka anatokwa na jasho anaongea vitu vya ajabu, kwa kifupi tulichanganyikiwa wote. Ila bi mkubwa kidogo alikuwa na ujasiri akaingia ndani akachukua maji ya baraka akamwagia akatulia, ikapita robo saa akapandisha tena hapo ndipo baba machozi yalimtoka,dogo akawa anaongea vitu vya ajabu viki muhusisha jirani yetu ambaye tuna mtreat kama ndugu yetu.Kulitokea nini?
Watoto wake watamchapa mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Hua nashangaa sana hizi mentality za kijinga mkuu
Ni amani na furaha ipi mtu anaipata kwa kuteseka miaka 25 ?! Ukimwambia maisha sio pesa ..
Kuna mentality fulan ya kijinga sana baadhi ya watu hudhani wenye pesa hawana amani na furaha ...
Unawaongelea vipi kina mwendazake waliokua wanaombewa na wachungaji, machifu, waganga , wachawi n.kKwamba unamwomba Mungu huku umefunga booster, hahahaha........wewe jamaa bhana, Mungu hachanganywi na uganga wala ulozi. Ukisoma biblia waisreali walitakiwa kujitakasa kwanza kwa kutubu dhambi na kutupa hirizi na masanamu ya miungu yao kabla Mungu hajashuka. Huwezi kuita nguvu au uwepo wa Mungu huku umefunga hirizi na mitishamba, that will be suicidal.......ukikutana na waisraeli waliokuwepo kipindi Mungu anashuka mlima Sinai waulize mtiti wake ulikuwaje.......
Anaweza akakuazima notes, siunajua karatasi ni mti hivyo ni rahisi kuroga . Anachukua anenda kuroga kwa kutumia notes alizokuazima
NaamAmiiin Mkuu nina imani yatakwisha tu kwa uwezo wa Mungu