Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Kama unaamini uwepo wa viumbe majini/mapepo ina maana unajua kwamba wanaweza kuleta athari kwa binaadamu mfano kumsababishia maradhi, je kwa kutumia akili tu ya tuliyopewa na Mungu ni vp utaweza kuondoa hiyo changamoto kwa maana hilo tatizo la kiafya lililosababishwa na jini/pepo? Kumbuka huo sio uchawi ni athari za hao viumbe.Kumpunguzia mwanadamu uwezo wa kufikiri yaani awe tegemezi asitumie akili yake kutatua shida.
Hakuna shida yeyeto duniani ambayo huwezi itatua kwa akili yako.Sema akili za wengi zimeisha chaji thus utegemea waganga na manabii kufikiri badala yao.
Mungu alimuumba mwanadamu akiwa kakamilika na wala haitaji msaada toka kwenye nguvu nyingine.