Pongo Pongo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2021
- 473
- 586
Hela zake zitarudi vipi hilo mimi sijui, labda waje hapa wanaojua watuambie. Tunachopenda aendele kutoa hiyo sapoti ili huku mtaani pachangamke.Kuna siku niliuliza humu.
Gsm ni nani pale yanga.
Mfadhili,msaidizi,au muwekezaji.watu hawakunielewa.
Inafikia hatua Gsm anakaa na mikataba ya wachezaji.
Analoongea Gsm ndo hilo hilo.
wakiambiwa wawape timu Gsm kama Simba walichofanya wanakimbilia kusema wao ni timu ya wananchi.
Timu yao haiwezi kumilikiwa na MTU mmoja.sasa unajiuliza Gsm anavyotoa hela zake unadhani anasaidia,ana fadhili au anawekeza?hela zake zitarudi vipi?
Au nasema uongo ndugu zangu