Pongo Pongo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2021
- 473
- 586
Hela zake zitarudi vipi hilo mimi sijui, labda waje hapa wanaojua watuambie. Tunachopenda aendele kutoa hiyo sapoti ili huku mtaani pachangamke.Kuna siku niliuliza humu.
Gsm ni nani pale yanga.
Mfadhili,msaidizi,au muwekezaji.watu hawakunielewa.
Inafikia hatua Gsm anakaa na mikataba ya wachezaji.
Analoongea Gsm ndo hilo hilo.
wakiambiwa wawape timu Gsm kama Simba walichofanya wanakimbilia kusema wao ni timu ya wananchi.
Timu yao haiwezi kumilikiwa na MTU mmoja.sasa unajiuliza Gsm anavyotoa hela zake unadhani anasaidia,ana fadhili au anawekeza?hela zake zitarudi vipi?
Hela zake zitarudi vipi hilo mimi sijui, labda waje hapa wanaojua watuambie. Tunachopenda aendele kutoa hiyo sapoti ili huku mtaani pachangamke.
Au nasema uongo ndugu zangu
Senzo ni consertant pale yanga, sijui niko sahihi.ila cheo chake ili kiweze kufanya kazi vizuri inabidi wafanye mabadiliko ya kiuendeshaji.Na hapo ndipo tatizo lilipo pale yanga.
Wana mipango mingi ila hawajui wataitimiza vipi.
Walimchukua senzo kawasaidia nini?
Walidhani mafanikio ya Simba ni senzo ndo kaleta Leo senzo yupo kwao kawasaidia nini?
Unataka kwenda kukopea benk au?Mwenye picha ya Mwakalibela please nina shida nayo.